wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 25,190
- 27,434
Katika ingine ya gari ukiwasha unasikika ule mgurumo kuwa engine iko on sasa kwenye engine ndani crengshaft ndio huzungusha piston na mbele ya crengshaft ndiko hufungwa 'panga boy' kwa ajili ya kupuliza engine kupooza.
Sasa ukisema labda huo mlio hutoka kwenye panga boy mbona hata ukitoa hilo 'panga boy' mlio unakuwa ni ule ule? Je, huo mlio (mngurumo) huwa unatoka wapi kwenye hiyo engine?
Sasa ukisema labda huo mlio hutoka kwenye panga boy mbona hata ukitoa hilo 'panga boy' mlio unakuwa ni ule ule? Je, huo mlio (mngurumo) huwa unatoka wapi kwenye hiyo engine?