Hivi kwenye engine ya gari ule mlio hutoka wapi?

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
25,190
Reaction score
27,434
Katika ingine ya gari ukiwasha unasikika ule mgurumo kuwa engine iko on sasa kwenye engine ndani crengshaft ndio huzungusha piston na mbele ya crengshaft ndiko hufungwa 'panga boy' kwa ajili ya kupuliza engine kupooza.

Sasa ukisema labda huo mlio hutoka kwenye panga boy mbona hata ukitoa hilo 'panga boy' mlio unakuwa ni ule ule? Je, huo mlio (mngurumo) huwa unatoka wapi kwenye hiyo engine?
 
Ndani ya injini kuna piston inakandamiza hewa na mafuta mpaka yana lipuka mlipuko mkubwa ambao ndo unatoa makelele,

makelele yale yana punguzwa kwa kupitia vifaa kama exaust mainford ,exaust mufler na bomba la moshi mpaka mlio unakua mdoogo sana,
Mechanical expret wengine watafafanua zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app

Aisee umetaja hizo manifold and muffler umenikumbusha nikiwa najifunza kutengeneza trekta kijijini kule.
 
Katika ingine ya gari ukiwasha unasikika ule mgurumo kuwa engine iko on sasa kwenye engine ndani crengshaft ndio huzungusha piston na mbele ya crengshaft ndiko hufungwa 'panga boy' kwa ajili ya kupuliza engine kupooza.

Sasa ukisema labda huo mlio hutoka kwenye panga boy mbona hata ukitoa hilo 'panga boy' mlio unakuwa ni ule ule? Je, huo mlio (mngurumo) huwa unatoka wapi kwenye hiyo engine?
'Crengshaft' sijajua ni nini.

dodge
 
'Crengshaft' sijajua ni nini.

dodge
Ni chuma flani limejikunja kama nyoka anatembea pistons hufungwa kwenye hiyo crankshaft.
Kazi ya Crankshaft ni kubadili safari za juu na chini za pistons(strokes,mapigo)kuwa mzunguko,
Mzunguko ambao mwisho wa siku unaendesha chomboView attachment 1348309
unnamed.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sauti inatoka kwenye sehemu inaitwa combustion chamber. Haoa ni mahali ambapo huwa unatokea mlipuko wa mchanganyiko wa mafuta na hewa.

Sauti huwa ya kawaida kwa sababu mlipuko hutokea kaztika mazingira ambayo yapo closed.

Na ndio maana ukiondoa exhaust pipe kwenye gari au pikipiki hizo kelele zake haziwezi kuvumilika.
Katika ingine ya gari ukiwasha unasikika ule mgurumo kuwa engine iko on sasa kwenye engine ndani crengshaft ndio huzungusha piston na mbele ya crengshaft ndiko hufungwa 'panga boy' kwa ajili ya kupuliza engine kupooza.

Sasa ukisema labda huo mlio hutoka kwenye panga boy mbona hata ukitoa hilo 'panga boy' mlio unakuwa ni ule ule? Je, huo mlio (mngurumo) huwa unatoka wapi kwenye hiyo engine?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndani ya injini kuna piston inakandamiza hewa na mafuta mpaka yana lipuka mlipuko mkubwa ambao ndo unatoa makelele,

makelele yale yana punguzwa kwa kupitia vifaa kama exaust mainford ,exaust mufler na bomba la moshi mpaka mlio unakua mdoogo sana,
Mechanical expret wengine watafafanua zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
Mafuta hayalipuki kwa kugandamizwa. Ila kugandamizwa kunapelekea once mafuta yatakapokuja kulipuka power iwe kubwa. Swala la kulipuka mafuta inategemea na aina ya engine. Mafuta yanavyochomwa kwenye engine ya petrol ni tofauti na yanavyochomwa kwenye engine ya diesel.

Nisaidie kufahamu jambo flani kwenye injini za kisasa za petroli mkuu ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom