Hivi kwenye engine ya gari ule mlio hutoka wapi?

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
25,190
Reaction score
27,434
Katika ingine ya gari ukiwasha unasikika ule mgurumo kuwa engine iko on sasa kwenye engine ndani crengshaft ndio huzungusha piston na mbele ya crengshaft ndiko hufungwa 'panga boy' kwa ajili ya kupuliza engine kupooza.

Sasa ukisema labda huo mlio hutoka kwenye panga boy mbona hata ukitoa hilo 'panga boy' mlio unakuwa ni ule ule? Je, huo mlio (mngurumo) huwa unatoka wapi kwenye hiyo engine?
 

Aisee umetaja hizo manifold and muffler umenikumbusha nikiwa najifunza kutengeneza trekta kijijini kule.
 
'Crengshaft' sijajua ni nini.

dodge
 
Sauti inatoka kwenye sehemu inaitwa combustion chamber. Haoa ni mahali ambapo huwa unatokea mlipuko wa mchanganyiko wa mafuta na hewa.

Sauti huwa ya kawaida kwa sababu mlipuko hutokea kaztika mazingira ambayo yapo closed.

Na ndio maana ukiondoa exhaust pipe kwenye gari au pikipiki hizo kelele zake haziwezi kuvumilika.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mafuta hayalipuki kwa kugandamizwa. Ila kugandamizwa kunapelekea once mafuta yatakapokuja kulipuka power iwe kubwa. Swala la kulipuka mafuta inategemea na aina ya engine. Mafuta yanavyochomwa kwenye engine ya petrol ni tofauti na yanavyochomwa kwenye engine ya diesel.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nisaidie kufahamu jambo flani kwenye injini za kisasa za petroli mkuu ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…