hivi lengo la swali kama hili ni nini?

CharmingLady

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2012
Posts
18,296
Reaction score
12,972
habari za jumapili wapendwa, natumai wengi wetu tumetoka church na wengne tumepumzika na kuna wengne wapo mzigon km mie hapa. nisiwachoshe. . .
nimewahi kukutana na baadhi ya akina baba ninaofahamiana nao na kuwaheshimu wenye mabinti wa rika langu wakiniuliza swali hili. . hv umeshaolewa? kwanini hujaolewa ama unachagua sana wachumba? na wananisisitiza kuolewa na wananisisitiza kutochagua sana. hv huwa wanamaanisha nini, kwani me suala la kuolewa ni maamuzi binafsi kwanini wao wanishadidie? kwani lazima?
 
Unajua weng huwa wana expect angalau mpaka 26 umechelewa sana 29 uwe umeolewa cz ikifika 30 ni ngumu saana kupata mwenza cz wanaume baadh yao huwa wanaona umechakaa, so ikifikia e.g 27 afu hauelewek bado hapo ndipo maswal yanapoanza na kunyoshewa vidole..they blv wanawake 2na deadline a.k.a expire date, so lazima ubalance, KUOLEWA SI LAZIMA INGAWA INAONGEZA HESHIMA..
A.K.A MARRIAGE TS A MATTER OV MIND IF U DONT MIND IT DOESNT MATTER.
 
mimi huwa nawaambia nipeni huyo mchumba?...wakiangalia hakuna mtu ..basi wananielewa kuwa wa kunioa hakuna wala sio mimi nina shida
 
kwa maisha ya sasa..

hayo maswali ni ya ki 'primitive saana'

ni sawa na kumuuliza mtu eti bado

unapanda daladala?

utafikiri maisha yake unayapanga wewe...

wapumbavu wengine utasikia....'bado umepanga mpaka leo'?
hujajenga bado?

stupids questions from stupids people
 
Hujajua tu kama hao 'wababa' wanakutongoza? Stuka!
 
TO WHOM MUCH IS GIVEN,MUCH IS TESTED....
Naaam. Maandiko yanasema "aliyepewa vingi, atadaiwa vingi"
 
The Boss, i like this "stupid questions from stupids people" yan unakuta mtu kakushikîa bango hv hujaolewa tu. tatizo nina mwili mkubwa bt kiumri cjafikia miaka ya kuexpire kama asemavyo mdau Kilahunja, naamini kila jambo na wakat wake na pia colewi kuifurahisha jamii,kufuata mkumbo ama kushinikizwa na wazazi/ndugu. nitaolewa kwa mapenzi ya Mungu.
 
Last edited by a moderator:

Kamanda kuna ujumbe wako hapa

Narudi tena namtafuta papaa THEBOSS ujumbe nakupenda.
 
na hata usipo olewa
there is nothing wrong with that
 
mimi huwa nawaambia nipeni huyo mchumba?...wakiangalia hakuna mtu ..basi wananielewa kuwa wa kunioa hakuna wala sio mimi nina shida

issue ni pale unakutana na mzee wa kijijini kwenu afu akakutwanga swali kama hlo. . . me huwa nawajibu bado nasoma ila nikimaliza kusoma ndo ntaolewa. make wanachosha as if walikuletea mchumba ukamkataa. . .
 
Hujajua tu kama hao 'wababa' wanakutongoza? Stuka!

no Kaizer katika hao walioniuliza maswali hayo hakuna aliyenitongoza make me huwa serious nkikutana na issue kama hyo. pia huwa nawahi kuwatambua km anataka ku-develop interest kwangu. akikutana na ndita obvious hawezi nieleza ujinga make kutongozwa hovyo hutokana na the way mtu anavyoji-keep. kimaongezi na hata kimavazi na mazoea pia!
 
Last edited by a moderator:
Hujajua tu kama hao 'wababa' wanakutongoza? Stuka!

no Kaizer katika hao walioniuliza maswali hayo hakuna aliyenitongoza make me huwa serious nkikutana na issue kama hyo. pia huwa nawahi kuwatambua km anataka ku-develop interest kwangu. akikutana na ndita obvious hawezi nieleza ujinga make kutongozwa hovyo hutokana na the way mtu anavyoji-keep. kimaongezi na hata kimavazi na mazoea pia!
 
Last edited by a moderator:
na hata usipo olewa
there is nothing wrong with that

me binafsi napenda kuolewa, why? napenda kuwa na familia yangu, napenda ile hali ya kumilikiwa na pia ndoa ni mpango wa Mungu. ila ntaolewa panapo nafasi yaan muda ukîfika.
 
Boss umenikumbusha cartoon moja kwenye gazeti moja la zamani: jamaa kamuuliza mwenzake; miaka 10 bado unalala kwenye chumba kimoja cha kupanga? Mwenzake akajibu; kwani waliojenga ghorofa wanalala kwenye vyumba vingapi?
 
hapo unakuwa unaelezwa kwa njia nyingine kwamba: 'we can see that you are now past your prime age na hujapata mwenza, vipi tukikusaidia kabla hujazeeka'
 
issue ni pale unakutana na mzee wa kijijini kwenu afu akakutwanga swali kama hlo. . . me huwa nawajibu bado nasoma ila nikimaliza kusoma ndo ntaolewa. make wanachosha as if walikuletea mchumba ukamkataa. . .

No usichukizwe na maswali kama hayo charminglady. Wanakuuliza hivyo kutokana na ile kasumba kwamba kama hujaolewa basi unapiga uhuni tu mitaani, kitu ambacho ni aibu ktk familia/ukoo. Isitoshe jamii ina-perception kwamba wadada wa siku hizi wanachagua sana
 
becoz every father deep down has the desire to walk their daughter down the eile kama wanawake wengi wanavyotaka kufind their prince charming.
ndio kuolewa ni ishu yako ila inafika wakati wanaona muda unaenda na wewe bado upo upo it raises questions as to wat kind of lifestyle u lead. no father wants to know that their daughter anagawa utamu kwa mwanaume bila serious future tho at the same tunakuwa na double standard in the sense wanaume hao hao twapenda utamu bila commitment.
all in all ni ile concern to kwamba muda unaenda na kuwa unaweza kuwa unaishi maisha ambayo sio maradufu.
 
hapo unakuwa unaelezwa kwa njia nyingine kwamba: 'we can see that you are now past your prime age na hujapata mwenza, vipi tukikusaidia kabla hujazeeka'

teh teh, bora niulizwe na kijana mwenz.ngu.sa hyo mzee me nampeleka wapi yakhe
 
Ask stupid question and get a stupid answer; mwambie nipe kijana wako nimuoe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…