CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,296
- 12,972
habari za jumapili wapendwa, natumai wengi wetu tumetoka church na wengne tumepumzika na kuna wengne wapo mzigon km mie hapa. nisiwachoshe. . .
nimewahi kukutana na baadhi ya akina baba ninaofahamiana nao na kuwaheshimu wenye mabinti wa rika langu wakiniuliza swali hili. . hv umeshaolewa? kwanini hujaolewa ama unachagua sana wachumba? na wananisisitiza kuolewa na wananisisitiza kutochagua sana. hv huwa wanamaanisha nini, kwani me suala la kuolewa ni maamuzi binafsi kwanini wao wanishadidie? kwani lazima?