Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Tutafika tuNi wazo zuri ila bidhaa nyingi za mahitaji ya kila siku hazizalishwi TZ
Mawazo yako mazuriVitu vingi tena vidogovidogo hatuna mkuu.
Nyembe za aina zote
Mashine za kuntolea ndevu
Leso za kufutia
Nail cut
Vya electronic hata kimoja
Jikoni labda sufuria
Redio na mziki wote tupu
Mie nilidhani wizara ya biashara ingeorodhesha viwanda na bidhaa ambazo zingezalishwa hapa nchini ili kwamba hata ikitokea tumewekewa vikwazo tusiadhirike sana badala ya kwaachia watu waamue.
Bidhaa zikianza kuzalishwa unaacha kutoa vibali vya kyagiza hiyo bidhaa nje.