Hivi leo waTanzania tukiamua kutumia bidhaa zinazozalishwa ndani tu kwa miaka mitano, hatutakuwa nchi ya dunia ya kwanza?

Hivi leo waTanzania tukiamua kutumia bidhaa zinazozalishwa ndani tu kwa miaka mitano, hatutakuwa nchi ya dunia ya kwanza?

Ni wazo zuri ila bidhaa nyingi za mahitaji ya kila siku hazizalishwi TZ
 
Naomba tusirudi nyuma katika hili, uchumi wetu utajengwa na sisi wenyewe..
 
Tujitahidi sana kununua Maziwa na Soseji zinazozalishwa nchini Tanzania, hii itasaidia sana kulinda ajira za ndugu zetu walioajiriwa huko
 
Vitu vingi tena vidogovidogo hatuna mkuu.

Nyembe za aina zote
Mashine za kuntolea ndevu
Leso za kufutia
Nail cut
Vya electronic hata kimoja

Jikoni labda sufuria

Redio na mziki wote tupu


Mie nilidhani wizara ya biashara ingeorodhesha viwanda na bidhaa ambazo zingezalishwa hapa nchini ili kwamba hata ikitokea tumewekewa vikwazo tusiadhirike sana badala ya kwaachia watu waamue.

Bidhaa zikianza kuzalishwa unaacha kutoa vibali vya kyagiza hiyo bidhaa nje.
Mawazo yako mazuri
 
Tiles kwa sasa zipo zinazalishwa nyingi nchini, tuache kutumia za nje
 

Hata hizo kandarasi wapewe wazawa, tunavujisha matrilion kwenda nje kila mwaka, inaumiza sana
 
Back
Top Bottom