Hivi leo waTanzania tukiamua kutumia bidhaa zinazozalishwa ndani tu kwa miaka mitano, hatutakuwa nchi ya dunia ya kwanza?

Hivi leo waTanzania tukiamua kutumia bidhaa zinazozalishwa ndani tu kwa miaka mitano, hatutakuwa nchi ya dunia ya kwanza?

Unless kiwe hakizalishwi nchini, lakini kama bidhaa inapatikana nchini, na hata kama kiwango ni hafifu kidogo, ila tukaweka uzalendo sisiwatz wote milioni 60 tukawa tunatumia bidhaa za Tz tu, kwa miaka mi5, hatuwi superpower kweli ndani ya ukanda huu wa Afrika? Nawapa challenge, na mimi naapa kuanzia leo, nikienda duka lolote kununua chochote, nitauliza kwanza za Tanzania ziko wapi, nikikosa ndio nitanunua za nje, tushikane mikono, UMASIKINI TUNAJITAKIA WENYEWE!
=================================
Nashukuru tumeshapata like 15 katika kampeni hii
Umepata wapi pesa za kuchezea ?

Unaacha vip kununua vitu kutoka nje vyenye ubora na bei ndogo , uje ununue vitu vya ndani vyisivyodumu na vinavyouzwa kwa bei ya juu AF
 
Unless kiwe hakizalishwi nchini, lakini kama bidhaa inapatikana nchini, na hata kama kiwango ni hafifu kidogo, ila tukaweka uzalendo sisiwatz wote milioni 60 tukawa tunatumia bidhaa za Tz tu, kwa miaka mi5, hatuwi superpower kweli ndani ya ukanda huu wa Afrika?
Nawapa challenge, na mimi naapa kuanzia leo, nikienda duka lolote kununua chochote, nitauliza kwanza za Tanzania ziko wapi, nikikosa ndio nitanunua za nje, tushikane mikono, UMASIKINI TUNAJITAKIA WENYEWE!

=================================
Nashukuru tumeshapata like 15 katika kampeni hii
You have very low IQ
 
Umepata wapi pesa za kuchezea ?

Unaacha vip kununua vitu kutoka nje vyenye ubora na bei ndogo , uje ununue vitu vya ndani vyisivyodumu na vinavyouzwa kwa bei ya juu AF
Si kweli, vipo vingi vinavyodumu na kwa bei nafuu
 
Ni hoja nzuri sana.. isipokuwa ni vigumu kutekelezeka katika nchi ambayo sera za viwanda haziko tayari kuhakikisha hilo linatokea.. sera za viwanda utadhani zinatungwa na wakoloni huko kusikojulikana halafu zinaletwa hapa nchini ili zitekelezwe..

Matokeo yake ni kwamba tija ya bidhaa zinatengenezwa hapa inakuwa kidogo, na zenyewe kuwa za gharama sana, kuliko hata zinazotoka nje.

Tatizo la kwanza ni kodi ya mitambo ya kutengeneza bidhaa.. utapigwa 200%.
Kodi kwenye mali ghafi.. 200%
Saa nyingine unakuta utengenezaji wa baadhi ya bidhaa unahitaji expertise kutoka nje, work permit ndo utachoka zaidi.
Ukishaanza kutengeneza hizo bidhaa tu, watakotokea kina TRA, BRELA, TFDA, OSHA, NEMC, WCF, ndo hutajuwa.

Lingine kubwa ni upatikanaji wa mitaji. Mabenk ya ndani hayana mpango nadhani na uwezo wa kimkakati kuwezesha uwekezaji katika manufacturing. Sirikali ndo kwanza haitaki kusikia mambo ya guarantee... Mabenk ya nje lakini yenye matawi hapa nchini yako kwa ajili ya kuwawezesha wawekezaji kutoka nchi mama waweze kuvuna hapa nchini. Watu ni wachache wenye access na mitaji kutoka kwenye mabenk ya nje moja kwa moja

Kupata capital kutoka ndani ni virtually impossible. Nguvu ya kufanya manunuzi ya watz (purchasing power) walio wengi bado ni ndogo sana.. ndogo kupindukia. Katika uchumi ambao per capita gdp haifiki dollar 200, ujuwe ni useless kufikiria manufacturing katika uchumi kama huu.
Unakuta katika uchumi kama huu, 75-90% ya kipato cha mtu kinaishia katika bidhaa zinaohusiana na vyakula.. hakuna balance ya kununuwa bidhaa zingine.

Kwa ufupi ni kwamba kwa changamoto nilizozitaja, kupatikana kwa bidhaa zinazotengenezwa hapa nchini ni mgumu na. Bado tutaendelea kununua bidhaa zilizotengenezwa na wanaume wenzetu
 
Sasa hapa kubali hoja yako haina mashiko
Haina mashiko vipi, kama cha Tanzania kipo basi nunua cha Tz over cha nje, ila kama vipo vya nje tu na vya ndani havipo nunua vya nje, sio uchague cha nje wakati cha ndani kipo
 
inauma sana hata toothpick tunaagiza Kenya jamani!. Media zetu zinapaswa ziifanye hii agenda kwenye kila vipindi vyao itolewe elimu na faida ya mtanzania kununua bidhaa ya kitanzania Pekee na bidhaa ya nje iwe option tu isiyo ya lazima.
 
Ni hoja nzuri sana.. isipokuwa ni vigumu kutekelezeka katika nchi ambayo sera za viwanda haziko tayari kuhakikisha hilo linatokea.. sera za viwanda utadhani zinatungwa na wakoloni huko kusikojulikana halafu zinaletwa hapa nchini ili zitekelezwe..

Matokeo yake ni kwamba tija ya bidhaa zinatengenezwa hapa inakuwa kidogo, na zenyewe kuwa za gharama sana, kuliko hata zinazotoka nje.

Tatizo la kwanza ni kodi ya mitambo ya kutengeneza bidhaa.. utapigwa 200%.
Kodi kwenye mali ghafi.. 200%
Saa nyingine unakuta utengenezaji wa baadhi ya bidhaa unahitaji expertise kutoka nje, work permit ndo utachoka zaidi.
Ukishaanza kutengeneza hizo bidhaa tu, watakotokea kina TRA, BRELA, TFDA, OSHA, NEMC, WCF, ndo hutajuwa.

Lingine kubwa ni upatikanaji wa mitaji. Mabenk ya ndani hayana mpango nadhani na uwezo wa kimkakati kuwezesha uwekezaji katika manufacturing. Sirikali ndo kwanza haitaki kusikia mambo ya guarantee... Mabenk ya nje lakini yenye matawi hapa nchini yako kwa ajili ya kuwawezesha wawekezaji kutoka nchi mama waweze kuvuna hapa nchini. Watu ni wachache wenye access na mitaji kutoka kwenye mabenk ya nje moja kwa moja

Kupata capital kutoka ndani ni virtually impossible. Nguvu ya kufanya manunuzi ya watz (purchasing power) walio wengi bado ni ndogo sana.. ndogo kupindukia. Katika uchumi ambao per capita gdp haifiki dollar 200, ujuwe ni useless kufikiria manufacturing katika uchumi kama huu.
Unakuta katika uchumi kama huu, 75-90% ya kipato cha mtu kinaishia katika bidhaa zinaohusiana na vyakula.. hakuna balance ya kununuwa bidhaa zingine.

Kwa ufupi ni kwamba kwa changamoto nilizozitaja, kupatikana kwa bidhaa zinazotengenezwa hapa nchini ni mgumu na. Bado tutaendelea kununua bidhaa zilizotengenezwa na wanaume wenzetu
Sawa,ila inapotokea bidhaa inazalishwa Tz tuinunue. Mfano jana nilienda superarket nikanunua Jam ya Tanzania, mkate wa Tz, maziwa ya Tz , spaghetti ya Tz, ujiwa ulezi na lishe ya Tz, juice ya Tz, kibaba cha sukari toka kilombero,neel salt ya tx, Juice toka Azam tz, Chilli pepper ya Tz, kiroba cha unga cha Tz, kiroba cha mchele cha Tz, mafuta ya kula ya sunflower toka singida, mafuta ya nazi ya kupaka Tz na vingine nimesahau. Ni small items ndio tunaweza kuzalisha kwahiyo hivyo hivyo vidogo tunavyoweza kuzalisha TUNUNUE!tupeane sapoti ili dada zetu huko viwandani wasipunguzwe kazi. We fikiria ni kiasi gani tungepoteza kama taifa endapo ningenunua yale maziwa toka dubai, ule mchele toka Taiwan, ile sukari toka brazil, ile malindi salt toka Kenya, juice toka South Africa nk?
 
phala kweli, iyo simu uliyotumia kuposti upumbavu nayo itengenezwe TZ ?

naomba nimtetee mtoa mada, kile kinachozalishwa Tanzania basi ni haki yetu kukinunua watanzania ila kama Tanzania haizalishi bidhaa unayoihitaji kununua basi huna jinsi kununua ya nje cha msingi option #1 iwe bidhaa ya Tanzania zengine ndo zifuate. Hao wachina wenyewe wanatumia simu zao 75% then simu za nje ndo zinafuata. Kwa sisi tuanze na bidhaa za vyakula kwanza then vyengine vitafuata.
 
inauma sana hata toothpick tunaagiza Kenya jamani!. Media zetu zinapaswa ziifanye hii agenda kwenye kila vipindi vyao itolewe elimu na faida ya mtanzania kununua bidhaa ya kitanzania Pekee na bidhaa ya nje iwe option tu isiyo ya lazima.
Ikiwezekana hii thread iwekwe sticky kabisa ili iwe kama reminder kila tunapoenda madukani
 
naomba nimtetee mtoa mada, kile kinachozalishwa Tanzania basi ni haki yetu kukinunua watanzania ila kama Tanzania haizalishi bidhaa unayoihitaji kununua basi huna jinsi kununua ya nje cha msingi option #1 iwe bidhaa ya Tanzania zengine ndo zifuate. Hao wachina wenyewe wanatumia simu zao 75% then simu za nje ndo zinafuata. Kwa sisi tuanze na bidhaa za vyakula kwanza then vyengine vitafuata.
Exactly, maana bidhaa za vyakula ndio nyingi tunaweza kuzalisha, hizo electronics kwakuwa hatuna basi hatuna jinsi
 
Rais ajae huko 2020 akitumia hii kama moja ya sera zake basi atatisha sana maana huyu aliyekuwepo ameshindwa kwenye hili.
 
Kutumia bidhaa za ndani ni jambo jema ila sio jambo jema kumnyima mtu uhuru wa kuchagua ubora wa bidhaa aipendayo maana ametafuta hela kwa jasho lake so ana haki ya kuitumia apendavyo. Tatizo la TZ sio kwamba wananchi hawapendi bidhaa za ndani bali hawazipendi sababu hazina ubora na bei ni sawa na ile ya bidhaa yenye ubora. Hivyo swala ni kuhakikisha bidhaa zinakua na ubora na bei iendane na ubora. Maana ata mie nikaenda sokoni cha sitakua na haja ya kununua bidhaa ya nje kwa bei ya juu wakat kuna bidhaa ya ndani yenye ubora uleule na kwa bei nafuu.
 
As as long as naingiza kipato nitanunua bidhaa yenye ubora ata kama bei yake iko juu. Ni bora nijinyime miaka ila nipate ile kitu roho inapenda na sio kusapoti bidhaa mbovu eti kisa ni za ndani.

Na kingine ambacho watu wengi hawakioni sababu ya kupenda mtelezo ni kwamba bidhaa mbovu utanunua kwa bei ndogo ila ujue pia haitadumu hivyo kukupelekea kununua hiyo bidha kila mara kama ni kifaa cha umeme utabadilisha kila siku so ukijumlisha hizo gharama ndogondogo unakuta ni kubwa kuliko mie ninaenunua kitu chenye ubora kwa hela nyingi ila nakaa nacho kwa muda mrefu.

Kwaio kabla ya kuanza kujadilia bidhaa za ndan au nje kwanza tujadilia ubora then price swala la market autimatically it will resolve itself.
 
Back
Top Bottom