Hivi leo waTanzania tukiamua kutumia bidhaa zinazozalishwa ndani tu kwa miaka mitano, hatutakuwa nchi ya dunia ya kwanza?

Unless kiwe hakizalishwi nchini, lakini kama bidhaa inapatikana nchini, na hata kama kiwango ni hafifu kidogo, ila tukaweka uzalendo sisiwatz wote milioni 60 tukawa tunatumia bidhaa za Tz tu, kwa miaka mi5, hatuwi superpower kweli ndani ya ukanda huu wa Afrika?
Nawapa challenge, na mimi naapa kuanzia leo, nikienda duka lolote kununua chochote, nitauliza kwanza za Tanzania ziko wapi, nikikosa ndio nitanunua za nje, tushikane mikono, UMASIKINI TUNAJITAKIA WENYEWE!

=================================
Nashukuru tumeshapata like 18 katika kampeni hii
Hujui unachokiongea
 
Hiyo ni changamoto, ila nyingi ni cheaper kuliko za nje
Nimetoka kununua soseji za Tz, za Kenya nimepiga chini
20190629_205019.jpg
 
Haina mashiko vipi, kama cha Tanzania kipo basi nunua cha Tz over cha nje, ila kama vipo vya nje tu na vya ndani havipo nunua vya nje, sio uchague cha nje wakati cha ndani kipo

Bosi rejea article yako hapo juu!! Kama umebadilisha useme
 
Nilichosema ni kwamba kama ukienda dukani na ukakuta brand ya Tz na ya nje basi nunua ya Tz, ila kama ipo ya nje tu na ya Yz haipo basi nunua ya nje maananhakuna namna, ni kama uende duka la simu obviously hutakuta ya Tz hivyo utalazimika kununua ya nje, sasa nimebadili nini?
 
Unless kiwe hakizalishwi nchini, lakini kama bidhaa inapatikana nchini, na hata kama kiwango ni hafifu kidogo, ila tukaweka uzalendo sisiwatz wote milioni 60 tukawa tunatumia bidhaa za Tz tu, kwa miaka mi5, hatuwi superpower kweli ndani ya ukanda huu wa Afrika?
Nawapa challenge, na mimi naapa kuanzia leo, nikienda duka lolote kununua chochote, nitauliza kwanza za Tanzania ziko wapi, nikikosa ndio nitanunua za nje, tushikane mikono, UMASIKINI TUNAJITAKIA WENYEWE!

=================================
Nashukuru tumeshapata like 18 katika kampeni hii
Unachanganya mambo. Kuwa Super Power ni kuwa na bomu la atomic.

Hakuhusiani na matumizi ya ndani au nje.
 
Hiyo dunia kwa sasa haiwezi kutokea kwa sababu nchi jirani na nchi nyingine zitatukazia(kutuwekea vizuizi) hatimaye tuta sufer kiuchumi
 
Kwani mimi na wewe binafsi tukienda dukani na kununua vyabTz tu kama vipo na kubagua vya nje, kuna mtu atakuja kutulazimishe tununue juice au ma apple toka SouthAfrica wakati ni pesa zetu wenyewe?
 
Kwa hiyo mzee kama vile nimekuelewa kwa sasa kuwa kuwe na kamgomo kapo sirinì kwa wananchi kuwa tunagoma kununua vya nje at the end tutadisapoint importation ya vya nje kwa sababu vinaonekana havina soko.Mi nilijua sisi kama serikali tukatae live live kuwa tumeamua ktumia vyetu hatutaki vya nje? HIKI KITU KINAENDA AGAINST NA FREE MARKET PRINCIPLES.

Ofcourse, au ulicomment bila kusoma uzi?
 
Nilijua tukaze zisiingie imports from another country si unanja comments za usiku zina balimi kwa ndani yake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndo hivo sasa, ukienda dukani fanya upendeleo kwa bidhaa za bongo
 
Unless kiwe hakizalishwi nchini, lakini kama bidhaa inapatikana nchini, na hata kama kiwango ni hafifu kidogo, ila tukaweka uzalendo sisiwatz wote milioni 60 tukawa tunatumia bidhaa za Tz tu, kwa miaka mi5, hatuwi superpower kweli ndani ya ukanda huu wa Afrika?
Nawapa challenge, na mimi naapa kuanzia leo, nikienda duka lolote kununua chochote, nitauliza kwanza za Tanzania ziko wapi, nikikosa ndio nitanunua za nje, tushikane mikono, UMASIKINI TUNAJITAKIA WENYEWE!

=================================
Nashukuru tumeshapata like 21 katika kampeni hii
Viwanda vya nguo unavyo? Kahawa na Chai utamaliza mwenyewe? Korosho tu zimekushinda kununua utafune, mbaazi, choroko, dengu, kunde utazimaliza? Je unaviwanda vya kutengeneza Pikipiki, baiskeli nk?
 
Back
Top Bottom