TURIAN Senior Member Joined Apr 22, 2014 Posts 170 Reaction score 246 Aug 26, 2017 #1 Nimekuwa nikiangalia notification za likes na zilizoandikwa hazifanani, hivi hizi like kila siku ni 5 tu haziongezeki!!!!? Hata wengine sijamuona mwenye zaidi ya 5 like kwa Post. Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuwa nikiangalia notification za likes na zilizoandikwa hazifanani, hivi hizi like kila siku ni 5 tu haziongezeki!!!!? Hata wengine sijamuona mwenye zaidi ya 5 like kwa Post. Sent using Jamii Forums mobile app
Lodrick Thomas JF-Expert Member Joined Jan 24, 2017 Posts 1,339 Reaction score 2,431 Aug 26, 2017 #2 Ukitumia app utaona ziko tano tu...ila ukitumia pc utaona zaidi ya hizo... Hata ikiandika una likes 5 na kama ulipata likes 30 then hazitapungua...
Ukitumia app utaona ziko tano tu...ila ukitumia pc utaona zaidi ya hizo... Hata ikiandika una likes 5 na kama ulipata likes 30 then hazitapungua...
Mjasiri na Mali JF-Expert Member Joined Jun 24, 2017 Posts 5,366 Reaction score 14,167 Aug 26, 2017 #3 Zinaongezeka mkuu ila kikomo chake ni hizo tano
sergio 5 JF-Expert Member Joined May 22, 2017 Posts 9,405 Reaction score 10,637 Aug 26, 2017 #4 JULIUS-DARCY said: Nimekuwa nikiangalia notification za likes na zilizoandikwa hazifanani, hivi hizi like kila siku ni 5 tu haziongezeki!!!!? Hata wengine sijamuona mwenye zaidi ya 5 like kwa Post. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Eti! Unasemaje?
JULIUS-DARCY said: Nimekuwa nikiangalia notification za likes na zilizoandikwa hazifanani, hivi hizi like kila siku ni 5 tu haziongezeki!!!!? Hata wengine sijamuona mwenye zaidi ya 5 like kwa Post. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Eti! Unasemaje?
TURIAN Senior Member Joined Apr 22, 2014 Posts 170 Reaction score 246 Aug 26, 2017 Thread starter #5 sergio 5 said: Eti! Unasemaje? Click to expand... [emoji2] [emoji2] Sent using Jamii Forums mobile app
sergio 5 said: Eti! Unasemaje? Click to expand... [emoji2] [emoji2] Sent using Jamii Forums mobile app