Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Nilipenda tu kujua kwa kweli. Maana kuna watu humu jukwaani walifikia mpaka hatua ya kumtishia usalama wake!
Ila cha kushangaza kwa sasa naona habari ya mjini ni Thank you tu kwa baadhi ya wachezaji ndiyo imetawala!
PIA SOMA
- Wanachama wa Simba 'Aggy Simba' na Dkt. Mohammed wafungiwa kujihusisha na klabu kwa muda
- Wajumbe Bodi ya Simba upande wa Wanachama wagoma kujiuzulu
- Salim Abdallah 'Try Again' ajiuzulu uenyekiti bodi ya wakurugenzi Simba
- Bodi ya Simba upande wa mashabiki wanataka kumtapeli Mo Simba yake
- Tetesi: - Simba imepasuka. Kuna Simba ya Try Again na Simba ya Mo, Kila upande unauroga upande mwingine
- Tetesi: - Simba inatarajia kumrejesha tena Barbara Gonzalez kwenye Bodi