Hivi lile sakata la baadhi ya mashabiki wa simba kumshinikiza Mwenyekiti wao Mangungu kujiuzulu, limefikia hatua gani mpaka sasa?

Hivi lile sakata la baadhi ya mashabiki wa simba kumshinikiza Mwenyekiti wao Mangungu kujiuzulu, limefikia hatua gani mpaka sasa?

Hawa mbumbumbu hakuna wa kumsumbuwa mtoto wa Libya street, Murtaza.

Huwa tunawachora tu wanavyopayuka, Mangungu ameteuwa mjumbe wa bodi kuwaonesha mamlaka aliyonayo kikatiba.

Sasa mbumbumbu hawa kina GENTAMYCINE waangalie mjumbe aliyeteuliwa na Murtaza ni nani ndio akili zitawarudia.
IDIOT acha Kuzuga ulisema kuwa Miaka ya 70 uliyokuwepo kulikuwa hakuna Hospitali ya Agha Khan Tanzania ambavyo Mimi pia nimezaliwa hapo na kwamba Hospitali pekee zilizokuwepo Dar es Salaam ni yako ya Ocean Road na Muhimbili hivyo tunataka Ushahidi wa huu UJUHA wako, ila Mimi nakuwekea hapa chini Ushahidi wangu Kuntu na Tukuka kabisa kuuonyesha kuwa Wewe Kwangu si tu ni Mshamba ila pia huna hata HADHI ambayo ninayo kwa sasa na nakuambia hili huku nikiwa NAJIAMINI na nina JEURI zote.

About the Aga Khan Hospital, Dar es Salaam
The Aga Khan Hospital, Dar es Salaam (AKH-Dar) is part of the Aga Khan Health Services (AKHS). Established in 1964, the Hospital is a 74-bed multispecialty facility staffed by 32 full-time consultants and 111 nurses offering quality health care to Tanzanians. The Hospital provides general medical services, specialist clinics and state of the art diagnostic services.

The Hospital has grown in recent years, expanding its services and upgrading its facilities. The expansion programme has emphasized the introduction of high-quality, high-technology laboratory, medicine, and radiology services, which have enhanced the capability of AKH-Dar to provide referral services in Tanzania.

The Aga Khan Hospital, celebrating 90 years of existence in Tanzania, the clinics and hospitals of the Aga Khan Health Service make it the longest serving not for profit private health care institution in Tanzania.

It established its first health Dispensary in Dar es Salaam in 1929. The Aga Khan was established in 1964, as a multispecialty hospital offering quality health care for the people of Tanzania.

In 2018, the expansion of the Hospital transformed the institution into a world class health care facility and is the only hospital in Tanzania to receive the prestigious gold standard quality re-accreditation from Joint Commission International (JCI) in 2019.

Tukisema msipende sana kujiita Madaktari wa Falsafa ( Dr ) kwani hamstahili mnadhani tunawaonea Wivu. Hovyo ( IDIOT ) kabisa.
 
Nilipenda tu kujua kwa kweli. Maana kuna watu humu jukwaani walifikia mpaka hatua ya kumtishia usalama wake!

Ila cha kushangaza kwa sasa naona habari ya mjini ni Thank you tu kwa baadhi ya wachezaji ndiyo imetawala!
Thank you!!
 
Limefikia hatua nzuri
 
Nafuatilia endapo vyura weshafunguliwa usajili mkuu.
Sheikh uko dunia ya wapi! Mbona usajili unaendelea!! Ila ni kimya kimya kama ilivyo kawaida. Hao Fifa tunawamudu vizuri tu. Watatufungulia wenyewe watake wasitake.
 
  • Kicheko
Reactions: Tsh
Sheikh uko dunia ya wapi! Mbona usajili unaendelea!! Ila ni kimya kimya kama ilivyo kawaida. Hao Fifa tunawamudu vizuri tu. Watatufungulia wenyewe watake wasitake.
Hahaha, sema mtalipa madeni.
 
Hahaha, sema mtalipa madeni.
Madeni yatalipwa tu maana hakuna namna nyingine. Wameyataka wenyewe. Utulivu na umakini vinahitajika sana wakati wa usajili wa hawa Maproo kutoka nje.
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Madeni yatalipwa tu maana hakuna namna nyingine. Wameyataka wenyewe. Utulivu na umakini vinahitajika sana wakati wa usajili wa hawa Maproo kutoka nje.
Ni kweli kabisa. Halafu msimu ujao tunazirudisha zile tano ili muwe na utulivu vizuri.
 
Ni kweli kabisa. Halafu msimu ujao tunazirudisha zile tano ili muwe na utulivu vizuri.
Shida yenu nyinyi kila msimu mnasajili wachezaji wapya na pia kocha mpya. Halafu wakianza tu kuzoeana, mnawatimua.

Kwa hali hii, hamuwezi kwa timu kama Yanga, ambayo yenyewe kwa miaka zaidi ya mitatu sasa, yenyewe huwa inakiboresha tu kikosi chake kwa kuongeza wachezaji wachache muhimu.
 
Huwa tunapokezana, usisahau Simba imechukua mfululizo pia.
 
Kila kitu kina timing!Siyo kwenda kama ngiri maji bila kutumia akili.
Ataondoka kwa aibu subiri muda unakuja.

Kuna marafiki zake pia hatutaki kuwasikia.Wale wanaotukana mashabiki kuwa ni mbumbumbu.
Subirini mtaona moto.
 
Back
Top Bottom