Mashimba Son
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 1,125
- 1,397
Tumia Clear men
Ni nzuri
Ni nzuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ina range kwenye sh.ngapi mkuu?Tumia Clear men
Ni nzuri
Ina maana ulikuwa hujui kama wapo hadi ulivyoona hiyo comment?kumbe ke wenye akili bado mpo?
Mwanaume ung'ae ili iweje mkuu?Najing'arisha..sijichubui mkuu...
Unapakaga nini my girlKama hutaki kujichubua na unataka ngozi iwe nzuri tumia queen elizabeth, nasikia ni nzuri sana ila mi sipakagi mafuta so sina ushahidi wa kutosha. Ngoja waje wanaoyajua.
Sipaki kitu my girl.Unapakaga nini my girl
Aisee hongera hadi miguuni, mimi pia huwa napenda nisipake sababu ya joto ila miguu huwa inapauka na hata usoni nikipitisha let's say siku tatu bila kupaka naota vipele vile vidogodogooo vinawasha hatariSipaki kitu my girl.
Ngozi yangu ina mafuta sana na nipo sehemu ya joto.
Ila my girl nategemea xmas hii nipake mafuta japo kwa hii siku.Aisee hongera hadi miguuni, mimi pia huwa napenda nisipake sababu ya joto ila miguu huwa inapauka na hata usoni nikipitisha let's say siku tatu bila kupaka naota vipele vile vidogodogooo vinawasha hatari
Haha kama hujazoea utaenda kuoga upya. Asante my girl itabidi nimuone mtaalamuIla my girl nategemea xmas hii nipake mafuta japo kwa hii siku.
Pole kwa kupata vipele sometimes. Nadhani si hali ya kawaida.