Hivi Lucky Dube hakuacha watoto wakubwa?

Mimi ninazo karibia zote! Audio na mp4. Ishu ni namna ya kuziweka sasa hapa jukwaani. Huo wa kutendwa unaitwa "It is not easy" na huo wa utumwa wa pombe unaitwa "Slave"

Kama vipi zi download tu maana ni rahisi sana.

Kuhusu mtoto, ametuachia mtoto wa kike mmoja tu! kwa sasa naye ni mtu mzima na ana kipaji kama cha baba yake. Naye ni mtu wa rasta muda wote.
 
wakuu napenda nyimbo za Lucky Dube, Kuna ile anamuambia MAma yake kuwa ametendwa na mwanamke,
Na kuna ule analalamika amekuwa Mtumwa wa pombe,
iv Lucky Dube akuacha watoto wakubwa,
Anawatoto wawili vijana wakubwa Nkulee wa kike na Thokozani wa kiume.
Wakati anatengeneza video yake ya mwisho ya album ya Respect ambapo aliishia kucheza wimbo mmoja wa respect alisema anatengeza video ambazo zinaweza kutazamwa na watu wote hadi watoto na kibao cha respect kilichobeba album alitaka watu wamuheshimu alivyo na sio kwa sababu ye ni nani.
Silikiza Crazy World utajua unaishi dunia gani.
 
Mina cute Bila shaka we ni mtu wa kaskazini, Hawa ndio watu pekee wanawake wao hupenda Reggae kuliko chochote. Namkumbuka sana Mchaga wangu na nyimbo zake Alikua akifika tu anaweka playlist yake


Bob Marley-Is this love,Baby we've got a date,Forever loving jah,everything will be alright,cry to me, one love, stir it up, so much things to say,One Drop

Burning Spear-African Teacher

Lucky Dube-The way it is,Prisoner,Remember me,house of exile,Back to my roots, different colour , Rasta man's prayer.

Aliniachia mixer za Lucky Dube huwa nasikiliza sana nikimkumbuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…