Hivi Lucky Dube hakuacha watoto wakubwa?

Hivi Lucky Dube hakuacha watoto wakubwa?

Alikuwa fundi haswa nyimbo zake zinagusa kila idara unaweza maliza siku nzima ukizirudia ngoma zake play list yangu ni Truth in the world, that's the way, I have got u, prisoner, back to my root,crazy World na raggae strong. Kwenye nyimbo ya mama nimenukuu kipande kimoja nilichokikubali ni"beautiful woman is another man plaything... "
All in all most important thing in our life is to be good to the people on your way up... coz you will need them on your way down..
 
Mimi ninazo karibia zote! Audio na mp4. Ishu ni namna ya kuziweka sasa hapa jukwaani. Huo wa kutendwa unaitwa "It is not easy" na huo wa utumwa wa pombe unaitwa "Slave"

Kama vipi zi download tu maana ni rahisi sana.

Kuhusu mtoto, ametuachia mtoto wa kike mmoja tu! kwa sasa naye ni mtu mzima na ana kipaji kama cha baba yake. Naye ni mtu wa rasta muda wote.
Wow, ziweke
 
'Somebody told me about it,when i was still a little boy.
She said to me crime does not pay,
she said to me education is the key.
As a little boy i thought i knew what i was doing.... ye man!

But today here i am in jail
i am the Prisoner
I am the Prisoner.
Artist;Lucky Dube
Song;Prisoner
RIP Dube.
 
Mimi ninazo karibia zote! Audio na mp4. Ishu ni namna ya kuziweka sasa hapa jukwaani. Huo wa kutendwa unaitwa "It is not easy" na huo wa utumwa wa pombe unaitwa "Slave"

Kama vipi zi download tu maana ni rahisi sana.

Kuhusu mtoto, ametuachia mtoto wa kike mmoja tu! kwa sasa naye ni mtu mzima na ana kipaji kama cha baba yake. Naye ni mtu wa rasta muda wote.
Yupo wa kiume mkubwa sikuhizi kakua anaimba reggae ukiachana na yule wa kike aitwaye Nkule Dube
 
Ahahahha...ivi Mina cute unakula jani mama maana kusikiliza izo nyimbo zahitaji akili za ziada ujue
 
1. Rastaman's Prayer
2. Irie ( Do you feel Irie)
3. God blessed the Women
4. Born to Suffer
5. Crazy World
6. Truth in the world
7. Peanut butter
8. Big boys don't cry
9. War and crimes

Orodha ni ndefu kwakweli. Jamaa alikua anajua tena fundi sana.
 
wakuu napenda nyimbo za Lucky Dube, Kuna ile anamuambia MAma yake kuwa ametendwa na mwanamke,
Na kuna ule analalamika amekuwa Mtumwa wa pombe,
iv Lucky Dube akuacha watoto wakubwa,
Hata kama walikuwa wadogo, kwa sasa watakuwa wakubwa.
 
Back
Top Bottom