Hivi Lucky Dube hakuacha watoto wakubwa?

Mwaka gani huo na wap isije kuwa ndo mie, Tukapasha kidogo, maana naipenda reggae tangu kitambo
We njoo tupashe tu... Reggae itatu Strongisha hahahaa Sometimes between 2017-2018 Huku mikoa ya kaskazini.
 
Crime does not pay,, reggae ina ujumbe kwakwel
 
anakwambia its better to be alone and happy than be with someone and be unhappy
Huyu jamaa alikuwa ana preaching kupitia reggae.
Alafu ana nyimbo yake moja anazungumzia preacher man na jesus unaikumbuka?
 
Binafsi naamini hakuna mwana Rege ambaye hamhusudu hayati Luck Dube alafu si amini sana kama kuna kiumbe atakuja kuvaa viatu vyake vikamuenea ipasavyo.
Hata mimi naamini hivyo sioni mtu mwingine wa kumfikia Dube
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…