Hivi Lucky Dube hakuacha watoto wakubwa?

Wakuu, napenda nyimbo za Lucky Dube, Kuna ile anamuambia Mama yake kuwa ametendwa na mwanamke,
Na kuna ule analalamika amekuwa Mtumwa wa pombe, hivi Lucky Dube akuacha watoto wakubwa?
njoo pm MPENZnikuvishe pete nikuoe afu at the end nimpigie mama nimepata mchumba...mwisho wa siku tukidivorce nitampigia tena mama, nae bila shaka atanijibu

It's not easy to understand it son
But I hope you'll make it
 
Wakuu, napenda nyimbo za Lucky Dube, Kuna ile anamuambia Mama yake kuwa ametendwa na mwanamke,
Na kuna ule analalamika amekuwa Mtumwa wa pombe, hivi Lucky Dube akuacha watoto wakubwa?
HAKO KA AVATAR KATAM KINOMA SIJUI NI WEWE? AU UMEAMUA KUNIPOTEZEA TU MUDA WANGU WA KUJA PM? POTELEA MBALI NAKUJA PM MENGINE TUTAJJUA HUKO HUKO
 
nikisikiliza nyimbo ya "Group Areas Act" huwa natokwa na machozi Ina ujumbe tosha kwa viongozi wetu jamaa ni fundi Sana
 
njoo pm MPENZnikuvishe pete nikuoe afu at the end nimpigie mama nimepata mchumba...mwisho wa siku tukidivorce nitampigia tena mama, nae bila shaka atanijibu

It's not easy to understand it son
But I hope you'll make it

Hii comment ya nyege hii.
 
Wakuu, napenda nyimbo za Lucky Dube, Kuna ile anamuambia Mama yake kuwa ametendwa na mwanamke,
Na kuna ule analalamika amekuwa Mtumwa wa pombe, hivi Lucky Dube akuacha watoto wakubwa?
ameacha mtoto wa kike saivi atakuwa mkubwa tu,nilimuona siku ya mazishi ya dube yupo na mke wa dube wote wazuri hatari
 
Kuna goma moja linaitwa rolling stone kutoka kwa lucky

Pia kuna children in the street

Eyes of the biholda

The way it is

Back to my root

O my song I'm sorry

God bless women... Nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…