Mbwa dume
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 5,934
- 10,206
Unataka wakuoe?[emoji849]Wakuu, napenda nyimbo za Lucky Dube, Kuna ile anamuambia Mama yake kuwa ametendwa na mwanamke,
Na kuna ule analalamika amekuwa Mtumwa wa pombe, hivi Lucky Dube akuacha watoto wakubwa?
Sent using Jamii Forums mobile app