Hivi Lulu yuko katika hali gani kwa sasa?

Hivi Lulu yuko katika hali gani kwa sasa?

Shetani yule....

Yuko bize mtandaoni na maselfie..
 
....Umepatikana na kosa la kuua bila kukusudia, mahaka imekuona hauna hatia, imekuachia huru...!
Ama hukumu itasomwaje!
Kwa mujibu wa sheria namba..... Kifungu..... Mshtakiwa aliua bila kukusudia, na adhabu yake kwa mujibu wa sheria namba...., adhabu yaweza kifungo cha miaka....,au faini....., lakini kutokana na ushahidi......., Mahakama imeamua kumuachia huru Mshtakiwa!!!!!
 
Wenzetu hawa hawapendi kuumiza Kichwa kabisa!!!! Wanapenda maisha mazuri bila kufanya kazi, lazima zile sehemu ziumie tuu
Daah. Mtihani sana. Wanajisahau. No situation is permanent!
 
Back
Top Bottom