Hivi Lulu yuko katika hali gani kwa sasa?

Hivi Lulu yuko katika hali gani kwa sasa?

yaani nimechoka leo ,sina hata hamu ya kitu chochote
My babe...my pumpkin spice!

Come here and let me carress your back and then we'll go swim in the timeless currents of pure bliss[emoji8] [emoji8] [emoji8]
 
anaweza kujiua eti,ndugu zake wamuangalie sana
halafu sheria zetu naona kama zina mapungufu,kwa kesi yake ilipofikia lulu alitakiwa awe magereza tayari ili kuepuka madhara ya yeye kujidhuru au hata kutoroka nchi.
 
Duh!!! Kwahiyo ningeweka namba ya Ba' Jesca kama alivyopendekeza Upiversity, hivi sasa ingekuwa ushapiga stori na Baba J!!!
Ningepiga nae tatizo tu ni pale mwanzo wa maongezi, ningebana pua maana I thought namba ni za Lulu
 
Hiki kikombe hawezi kukiepuka,she will going to pay da price to be da bo$$,miaka mitatu aliyokuwa uraiani ingemtosha kuclear hiyo kesi lakini alitaka kumantain status sasa ngoja alipe Gharama mvua aka nyundo haiepukiki.
 
Kama ni kuact Lulu ni actress mzuri sana. Alipotoka Segadance aliamua kuwa karibu na Mungu lakini ilikuwa acting ya muda mfupi.

Aliact kumjali mama Kanumba kama mama yake, miezi sita haikupita alimchamba mama wa watu tena Insta.
Alimuambiaje?
 
Mi namuombea wasimpe kifungo kikubwa zaid ya mitano jela sio pahali pazur kumuombea mwenzio aende hakukusudia kutokea haya katika maisha yake dunian hakuna aliekamilika wote tunamapungufu
 
Sasa hivi yupo kama "Kanumba" japo tofauti yao ni kwamba "Lulu" bado yupo kwenye huu ulimwengu wa mwili wa nyama.

Kwa uhalisia kabisa, ni kuwa "Lulu" yuko kwenye tanuru la moto kwa sasa.
 
Back
Top Bottom