Ishu ni kuwa zamani ilikuwa inamaanisha kuishi dar kunahitaji kutumia ubongo, ndo maana pakaitwa bongo dar-es-salaam. Ila baada ya kuzoeleka sana ikawa inamaanisha watz kwa ujumla, Hivyo ukijiita mbongo unamaanisha mtu unaetumia akili ku-survive kwa namna yoyote ile ikiwemo ujanja, utapeli, to name a fewMara nyingi huwa naona Watanzania wakijisifia kuitwa 'Wabongo', sasa juzi nimetazama video ya rais Magufuli akizungumza kuhusu matapeli yaliyopiga hela ya maji Tunduma, akasema alifikiria Wabongo wapo Dar es Salaam tu, kumbe na Tunduma wapo, kwa hivyo ina maana hilo jina linahusiana na ukajanja na utapeli tapeli....
Ishu ni kuwa zamani ilikuwa inamaanisha kuishi dar kunahitaji kutumia ubongo, ndo maana pakaitwa bongo dar-es-salaam. Ila baada ya kuzoeleka sana ikawa inamaanisha watz kwa ujumla, Hivyo ukijiita mbongo unamaanisha mtu unaetumia akili ku-survive kwa namna yoyote ile ikiwemo ujanja, utapeli, to name a few
Sent using Jamii Forums mobile app
Mara nyingi huwa naona Watanzania wakijisifia kuitwa 'Wabongo', sasa juzi nimetazama video ya rais Magufuli akizungumza kuhusu matapeli yaliyopiga hela ya maji Tunduma, akasema alifikiria Wabongo wapo Dar es Salaam tu, kumbe na Tunduma wapo, kwa hivyo ina maana hilo jina linahusiana na ukajanja na utapeli tapeli....
Sasa wewe ndiwe umetoa jibu sahihi. Neno bongo ni ufupi wa bongolala.Inasemekana bongo zao zimesinzia ndio maana wao ni mafukara licha ya kubarikiwa na kila kitu.Siku hizi ni bongolala 😀😀
Watu wanao ishi kwa kutumia akiliMara nyingi huwa naona Watanzania wakijisifia kuitwa 'Wabongo', sasa juzi nimetazama video ya rais Magufuli akizungumza kuhusu matapeli yaliyopiga hela ya maji Tunduma, akasema alifikiria Wabongo wapo Dar es Salaam tu, kumbe na Tunduma wapo, kwa hivyo ina maana hilo jina linahusiana na ukajanja na utapeli tapeli....