Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 8,939
- 10,403
Kwanini asiungane na hao wanaoandamana? Au ni chawa wa Kizimkazi??Itisha na wewe maandamano
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini asiungane na hao wanaoandamana? Au ni chawa wa Kizimkazi??Itisha na wewe maandamano
Ova
Majibu wanayo serikali! Wananchi ndo waungane kutaka majibu na si porojo!Kwa hiyo chadema wana majibu ya matatizo yote hayo?
Mwl. JK Nyerere aliona mbali!Watanzania wengi ni wajinga. Swali la mleta mada ni ushahidi tosha.
Hayo maswali waulizwe CCM wenye serikali... Chadema haina mbunge wala serikali, wao wnachofanya ni awareness tu ila kwa sababu serikali ishajua wananchi wake wapo wapo tu, basi hawana shida this time.Wanajamvi kichwa cha habari chajieleza
CHADEMA walianza maandamano ya amani kuishinikiza serikali kupunguza makali ya maisha kwa wananchi tarehe 24.01.2024
Hali ya sasa inayoendelea nchini ni kama maandamano hayo yamezidi kuchochea hali mbaya na yanaonyesha hayana tija yoyote zaidi ya kuleta usumbufu kwa wananchi
Nchi inapita wakati mgumu wa kukosa
1. Sukari
2. Umeme
3. Maji
4. Dola
5. Mfumuko wa bei
Je, maandamano hayo ni usanii na dhihaka kwa wananchi?
Watu kama nyinyi ndo mnatukwamishaWanajamvi kichwa cha habari chajieleza
CHADEMA walianza maandamano ya amani kuishinikiza serikali kupunguza makali ya maisha kwa wananchi tarehe 24.01.2024
Hali ya sasa inayoendelea nchini ni kama maandamano hayo yamezidi kuchochea hali mbaya na yanaonyesha hayana tija yoyote zaidi ya kuleta usumbufu kwa wananchi
Nchi inapita wakati mgumu wa kukosa
1. Sukari
2. Umeme
3. Maji
4. Dola
5. Mfumuko wa bei
Je, maandamano hayo ni usanii na dhihaka kwa wananchi?
Wewe ni low thinker, kwani CHADEMA ndo wanasabisha ugumu huo???Wanajamvi kichwa cha habari chajieleza
CHADEMA walianza maandamano ya amani kuishinikiza serikali kupunguza makali ya maisha kwa wananchi tarehe 24.01.2024
Hali ya sasa inayoendelea nchini ni kama maandamano hayo yamezidi kuchochea hali mbaya na yanaonyesha hayana tija yoyote zaidi ya kuleta usumbufu kwa wananchi
Nchi inapita wakati mgumu wa kukosa
1. Sukari
2. Umeme
3. Maji
4. Dola
5. Mfumuko wa bei
Je, maandamano hayo ni usanii na dhihaka kwa wananchi?
Wanajamvi kichwa cha habari chajieleza

Maandamano/matembezi ya hisani ya CHADEMA yana tija. Yatawasaidia kupunguza vitambi walivyovipata kwa kufakamia ruzuku ya 2.7b kimyakimya.
Shida yangu kwa nini serikali hairekebishi?Hali inazidi kuwa mbaya au hawajatishika
Point[emoji106]
NB:Halafu kweli ni matembezi ya hisani na sio maandamano,thank you
Hahaha mkuu napata shida juu ya uwelewa wako yaani kuhusisha Chadema na maisha magumu yanayosababishwa na serikali.
Ilaumi serikali yako kwa hali inayoendelea nchini na uipongeze Chadema kuelezea hisia za wananchi juu ya maisha magumu nchini.
Pamoja na hivyo serikali na viongozi wake wala hawana habari, ndio kwanza safari zinazidi bila kutokea ufafanuzi juu ya matatizo nchi inayopitia kwa sasa.
Ikishindwa kurekebisha hali, hukumu yao ni kwenye sanduku la kula, uwakatae wagombea wao pia uilinde kura yako isiibiwe wakati wa kuhesabu sawa kijana?
That Tiktok is nothing than mind crippled. A typical Chawa of complete empty upstairs.1. Unaandika as if what is going on in Tanzania is none of your business. One would expect you to suggest the way forward if demonstrations do not attain the intended outcome.
2. After all, you should not expect to make change from three demonstrations.... it may take months, years to make, and even confrontations/deaths of some of our people and the like!
3 My observation seems you are a stout CHAWA