Gosbertgoodluck JF-Expert Member Joined Mar 3, 2008 Posts 2,855 Reaction score 402 Nov 3, 2010 #1 Jamani ilikuwa ukifika maeneo ya nyegezi mwanza ilikuwa inakera sana kuona msururu wa mabango ya masha yakiomba kura kibubububu.. Je, bado yapo mitaani? Au anaona aibu kuyaondoa?????
Jamani ilikuwa ukifika maeneo ya nyegezi mwanza ilikuwa inakera sana kuona msururu wa mabango ya masha yakiomba kura kibubububu.. Je, bado yapo mitaani? Au anaona aibu kuyaondoa?????
Mtumishi Wetu JF-Expert Member Joined Oct 12, 2010 Posts 5,712 Reaction score 1,910 Nov 4, 2010 #2 Mwambie ayatoe hayana maana tena, aende akalale au amfuate rafiki yake JK AMTAFUTIE KAZI ZA KUFANYA. Lakini anayo Law Firm yake iliyo sajili DEEPGREEN na KAGODA Companies, mishiko kwake si shida. Nimtaalamu wa kutengeneza madeals.
Mwambie ayatoe hayana maana tena, aende akalale au amfuate rafiki yake JK AMTAFUTIE KAZI ZA KUFANYA. Lakini anayo Law Firm yake iliyo sajili DEEPGREEN na KAGODA Companies, mishiko kwake si shida. Nimtaalamu wa kutengeneza madeals.
Saint Ivuga JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 54,762 Reaction score 59,204 Nov 4, 2010 #3 mtumishi wetu said: Mwambie ayatoe hayana maana tena, aende akalale au amfuate rafiki yake JK AMTAFUTIE KAZI ZA KUFANYA. Lakini anayo Law Firm yake iliyo sajili DEEPGREEN na KAGODA Companies, mishiko kwake si shida. Nimtaalamu wa kutengeneza madeals. Click to expand... anawezeshwa na mkulu
mtumishi wetu said: Mwambie ayatoe hayana maana tena, aende akalale au amfuate rafiki yake JK AMTAFUTIE KAZI ZA KUFANYA. Lakini anayo Law Firm yake iliyo sajili DEEPGREEN na KAGODA Companies, mishiko kwake si shida. Nimtaalamu wa kutengeneza madeals. Click to expand... anawezeshwa na mkulu
coscated JF-Expert Member Joined Nov 17, 2010 Posts 3,264 Reaction score 2,676 Jan 16, 2011 #4 Yametoka na hata wale walioyaweka kama tinted wameyabandua
Pukudu JF-Expert Member Joined Jan 7, 2011 Posts 3,149 Reaction score 2,232 Jan 17, 2011 #5 hata ya Batilda arusha bado yapo walibandika mengi mno afu kuyabandua roho inauma ni pesa etiii!