Elections 2010 Hivi mabango ya masha jijini mwanza bado yapo mitaani?

Elections 2010 Hivi mabango ya masha jijini mwanza bado yapo mitaani?

Gosbertgoodluck

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2008
Posts
2,855
Reaction score
402
Jamani ilikuwa ukifika maeneo ya nyegezi mwanza ilikuwa inakera sana kuona msururu wa mabango ya masha yakiomba kura kibubububu.. Je, bado yapo mitaani? Au anaona aibu kuyaondoa?????
 
Mwambie ayatoe hayana maana tena, aende akalale au amfuate rafiki yake JK AMTAFUTIE KAZI ZA KUFANYA.

Lakini anayo Law Firm yake iliyo sajili DEEPGREEN na KAGODA Companies, mishiko kwake si shida.
Nimtaalamu wa kutengeneza madeals.
 
anawezeshwa na mkulu
 
Yametoka na hata wale walioyaweka kama tinted wameyabandua
 
hata ya Batilda arusha bado yapo walibandika mengi mno afu kuyabandua roho inauma ni pesa etiii!
 
Back
Top Bottom