Ameen mkuu nafikiria hili Mungu anisaidie wikii hii yaan wanateseka nawaza wakifika shule kichwa imechokaje ndio manaa wnegi asbh wanalala vipindi vya mwanzo sio kwa usingizi uchovuEndelea kusaidia mkuu ikibidi ila kila wanaponda Muombe Mungu akuepushie na Mitihani ya Barabarani, niamini hadi utaacha mwenyewe Hakuna kitakachotokea..