Abiria ni mtu yeyote anayesafiri kutoka sehemu moja kwenda nyingine kwa kutumia vyombo vya moto kama vile pikipiki, garimoshi, ndege, basi n.k. na mara nyingi hahusiki moja kwa moja ktk uendeshaji/mjongeo wa chombo husika {si dereva}.
Kwa kuwa, kigezo kimojawapo muhimu cha basi kuruhusiwa kubeba abiria ni pamoja na kuwa na mlango wa dharura na vioo vinavyofunguka kwa haraka pindi shida inapotokea.
Je, mabasi ya magereza yanayopeleka abiria {wafungwa} mahakamani au gerezani yana milango ya dharura?