Hivi mabeki warefu ni suluhisho la aerial balls?

canfi

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2022
Posts
1,368
Reaction score
1,477
Ninaamini kuwa tunahitaji mabeki warefu lkn wenye maarifa, ufundi na ujasiri wa kuruka. Mabeki wa Simba si wafupi, lakini juzi waliruhusu goli rahisi sana la mpira wa juu. Aidha, kabla ya hilo goli waliruhusu free header ambayo iliokolewa na Manula.

Kutokana na hoja za wadau kuwa Yanga wanaangushwa sana na vimo vya mabeki, nimenikuta nashangaa sana. Ni vimo pekee? Maarifa wanayo? Goli la kwanza lilisababishwa na ufupi? Au uzembe

Wajuvi tusaidiane
 
Ni kweli hakuna sababu ya ku-rank shule zetu kwenye ufaulu. Ya kwako ingekuwa ya mwisho kila mwaka
Mimi sina shule kazana kupambana na khali yao na wale vibeki vyako vimbilikimo
 
Kwenye mipira Yakichwa au Juu Simba Tunashida sana
Sio Kuokoa tu Hata kufunga Bado Nitatizo mtu Anaruka Kupiga kichwa Mwenyewe Hajui anaruka Aupige uende wapi!
 
Kwenye mipira Yakichwa au Juu Simba Tunashida sana
Sio Kuokoa tu Hata kufunga Bado Nitatizo mtu Anaruka Kupiga kichwa Mwenyewe Hajui anaruka Aupige uende wapi!
Sana
 
Argentina ni jibu sahihi mbali na kuwa na Wachezaji wafupi wafupi lakini walikomaa na wakabeba ubingwa wa dunia 2022.

Mabeki hawakuruka kabisa na waliwaachia huru wafungaji kwa kupiga free headers bila hata ya kuzongwa zongwa (kukabwa).

Utopolo na Makolokolo ni janga la Taifa.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Ulishazoea kukojozwa hamsa hamsa we Mbumbumbu/Malalamiko/Mikia/Makelele/Kolowizards/Ngada/Zuwena la sivyo huridhiki, kweli Kenge ni Kenge wala hajifichi [emoji23]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Sawa dada mwajuma ndala ndefu
Chura fc
Wacheza uchi fc
Gongo wazi fc
Utopolo fc
Wala mihogo fc
Wazee wa bakuli fc
Kangamoko fc
Hii khamsa ulikuwa bado hujaziliwa wewe mbwa wa luc eymael?
 

Attachments

  • 40F7D1E2-E1E9-4071-BB09-66A79271A0ED.jpeg
    59.7 KB · Views: 2
Sawa dada mwajuma ndala ndefu
Chura fc
Wacheza uchi fc
Gongo wazi fc
Utopolo fc
Wala mihogo fc
Wazee wa bakuli fc
Kangamoko fc
Hii khamsa ulikuwa bado hujaziliwa wewe mbwa wa luc eymael?
Mmmmmmh kweli elimu yetu bado
 
Team kama liverpool msimu wa mwaka 2016/17 waliruhusu magoli mengi ya set pieces msimu ulipoisha wakatafuta mtaalam wa set pieces kwenye kupiga na kuzicheza tatizo likaisha mpaka leo na mtaalam wao yupo ila tatizo kubwa sisi team zetu hatuna match analyst kwasababu ukiangalia wachezaji wetu na team zetu zinafungwa magoli ya aina moja na zinafanya makosa ya kujirudia ukiangalia simba mara zote alizotolewa kwenye Caf champions league

alitolewa kwa kufungwa mipira ya set pieces rejea ile mechi ya kaizer chief hakuna mpira weliocheza Kaizer zaidi ya kuvizia tu set pieces kwa maana match analyst ndio anasema na kutoa report ya kiufundi kwamba msimu huu tumeruhusu magoli 30 ila magoli 20 ni set pieces tulifanyie kazi angalia manula kila siku anafungwa magoli ya faulu tena maeneo yale yale ni dhahiri hakuna mwenye tathmini ya maendeleo ya team.

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
 
Yanga, Simba na hata timu yetu ya Taifa ina udhaifu kwenye defending set pieces. Ufupi wa mabeki yaweza kuwa sababu lakini si kweli kwamba mabeki wafupi hawafai, ni positioning tu ndiyo inayotakiwa. Makocha wayafanyie kazi haya mapungufu haraka iwezekanavyo.
 
1.Mazoezi huleta mazoea.
Waruka vichwa wengi was Huku kwetu wanafunga macho ..yaani wanauogopa mpira ....hapa tatizo lipo kwenye mwili au Ubongo.
Wengine ndio hawaruki kabisaa 2.nafkiri hii ni Moja ya uwezo wa kipekee aliokuwa nao mtu wa kujisemea huu mpira ni wangu na kuenda kuupigania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…