Ninaamini kuwa tunahitaji mabeki warefu lkn wenye maarifa, ufundi na ujasiri wa kuruka. Mabeki wa Simba si wafupi, lakini juzi waliruhusu goli rahisi sana la mpira wa juu. Aidha, kabla ya hilo goli waliruhusu free header ambayo iliokolewa na Manula.
Kutokana na hoja za wadau kuwa Yanga wanaangushwa sana na vimo vya mabeki, nimenikuta nashangaa sana. Ni vimo pekee? Maarifa wanayo? Goli la kwanza lilisababishwa na ufupi? Au uzembe
Wajuvi tusaidiane
Kutokana na hoja za wadau kuwa Yanga wanaangushwa sana na vimo vya mabeki, nimenikuta nashangaa sana. Ni vimo pekee? Maarifa wanayo? Goli la kwanza lilisababishwa na ufupi? Au uzembe
Wajuvi tusaidiane