Hivi mabeki warefu ni suluhisho la aerial balls?

Sawa kabisa
 
Unajua goli linaweza kufungwa katika mazingira tofauti tifauti ukiachana na kasoro za kimaumbile

Unaweza ukawa na kimo kirefu lakini bado ukizidiwa timing, mtu mfupi akawa anaruka kimo cha usawa wako na ku win mpira kabla yako

Au kuwa katika angle sahihi na kufanya maamuzi sahihi, mfano mpira uliopigwa katika lango lako unaweza ukawa katika nafasi ya kuucheza lakini mpira ukaja katika angle ambayo ukiugusa unaenda kujifunga.

So mimi kabla ya kusema urefu au ufupi nimeona shida yetu sisi katika ligi hii tunaudhaifu mkubwa sana kwenye hii mipira iliyotengwa.

(Japo sio kama nawapinga wale wanaosema tatizo la kimo, of course hilo pia ni tatizo ila bado sio tatizo pekee.)

Sidhani hata makocha wetu katika plan zao washawahi kuwa na mbinu za kufikiria kuweza kupata matokeo kupitia mipira iliyokufa. Hususani kwenye mashindano makubwa kama haya.
 
Sahihi
 
Messi na ufupi wake alienda juu zaidi ya Rio na Nemanja.
 
Hili ni tatizo la timu za Africa kusini mwa jangwa la sahara, linaanzia kwa makipa hadi mabeki, ufupi unachangia kwa nafasi ndogo sana. Kwenye World Cup timu za Africa zinafungwaga sana magoli hayo.
 
Hili ni tatizo la timu za Africa kusini mwa jangwa la sahara, linaanzia kwa makipa hadi mabeki, ufupi unachangia kwa nafasi ndogo sana. Kwenye World Cup timu za Africa zinafungwaga sana magoli hayo.
Yaaah
 
Timu dhaifu? Nipe msimamo horoya ni wangapi hapa afrika vs simba
Sawa Horoya si timu dhaifu, lkn vp aima ya goli walilofunga.....kulikuwa na mbilikimo?
 
Sawa Horoya si timu dhaifu, lkn vp aima ya goli walilofunga.....kulikuwa na mbilikimo?
Nipe rank za CAF horoyo namba ngapi? Zaidi utaleta ubishi wako kama mlivyokuwa hamna akili hapo utopoloni
 
Kila mpira wa kona ukipigwa golini kwa timu yoyote ya Tanzania huwa naangalia kama kuna beki anajishughulisha aupige kichwa huo mpira.

Kama mshambuliaji anauona na kumudu kuupiga kichwa mpira inakuaje beki anasubiri adui auguse ndipo ashughulike.

Ile njia ya mpira kila beki anaiona wacha mshambuliaji. Hapa beki matata lazima ahakikishe ana hamisha mpira eneo la hatari.

Ikibidi mpira ugongwe na watu wawili yaani beki na mshambuliaji.

Sio mshambuliaji anaonekana pekee ndie aliyeuona mpira na kuuwahi.

Wawakilishi wetu Simba na Yanga wasiruhusu magoli namna hiyo.

Bila shaka wanaweza kurekebisha
 
Nipe rank za CAF horoyo namba ngapi? Zaidi utaleta ubishi wako kama mlivyokuwa hamna akili hapo utopoloni
Mmmmh nisamehe sikujua wa kichwa chako. Mbona huelewi?
 
maarifa hatuna sio vimo
 
George Magele Masatu, Mark Fish,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…