- Thread starter
- #21
Sawa kabisa1.Mazoezi huleta mazoea.
Waruka vichwa wengi was Huku kwetu wanafunga macho ..yaani wanauogopa mpira ....hapa tatizo lipo kwenye mwili au Ubongo.
Wengine ndio hawaruki kabisaa 2.nafkiri hii ni Moja ya uwezo wa kipekee aliokuwa nao mtu wa kujisemea huu mpira ni wangu na kuenda kuupigania.