Waambie na kuwaibia juu.Kila benki inawaita wastaafu wapitishie pensheni zao kwao kwa ahadi ya mikopo ya riba ndogo na mambo kama hayo...
Uko sahihi kabisa wanatuona kama magunia ya viazi mviringo alivyovisema KarlMax kuwa peasants ni kama magunia ya viazi unaweza kuyatreat unavyotaka... peasants consciousness of their political class in a society. ndivyo watanzania tulivyo, sacks of potatoesHata hawa wenye tozo wanatuchukulia sote hivyo hivyo.
Uko sahihi kabisa wanatuona kama magunia ya viazi mviringo alivyovisema KarlMax kuwa peasants ni kama magunia ya viazi unaweza kuyatreat unavyotaka... peasants consciousness of their political class in a society. ndivyo watanzania tulivyo, sacks of potatoes