Kila benki inawaita wastaafu wapitishie pensheni zao kwao kwa ahadi ya mikopo ya riba ndogo na mambo kama hayo. Uongo mtupu!
Mfano, Azania wanawadanganya watu kwa kushirikiana na PSSSF kuwarubuni kwenda kwao kwa mikopo mizuri ya riba nafuu. Ni uongo, sana sana difference ni ndogo sana, si ya kumsumbua mstaafu.
Tofauti ni ndogo sana na huko benki ya posta waliko!
Haya mabenki yanadhani wastaafu wote walikuwa makuli bandarini kama huko Tanga, Dar etc. Wanasahau kuwa kuna watu wenye akili zao!