The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Kuna watu wanaabudia wenzao wasijue watakufa siku moja.
Tuliyaona wakati wa Magufuli.
Sasa tunao machawa.
Mungu wao ni mama yao anayewafuga.
Je, waliwahi kujiuliza? Akifa itakuwaje?
Je, hakuna namna nyingine ya kupata riziki ila kugeuzwa au kujigeuza. chawa mdudu mchafu na hovyo mnyonyaji?
Machawa tafakarini.