Ukiambiwa hauumwi,inabid utafute hospital ambayo iko bora zaidi.
Kuna watu tulishaambiwa kuwa hatuna ugonjwa,tukahis tumerogwa kwenda kwa sangoma hakuna nafuu iliyopatikana tatizo ilikuwa n macho baadae tukarudi hospital kubwa yenye vifaa vya uhakika,ikagundulika mishipa ya damu inayopeleka damu kwenye macho n kama imeziba lakin tayari tulikuwa tumeshachelewa