Huyu jamaa nae ni tapeli tu.Nimeshangaa sana kusikia huyu jamaa akilia wivu kwa watu wanaomuenzi JK Nyerere kwa namna zao.
Madaraka, mbona sikusikii ukihitaji falsafa zake zilindwe? Kuna taasisi ya Mwalimu Nyerere, Butiku ameigeuza kikao cha ukoo cha wazanaki, anakula hela za Urusi, China, Skandnavia.
Mwalimu alikuwa analina mashamba hapo Butiama, hatujakuona shambani. Kazi kupiga mizinga kwa viongozi.
Enzi za Mwalimu elimu bure, wewe ukaishia kwenye pombe na kulala Magomeni eti unapromote ngumi.
Nyerere ni mkubwa kuliko jina
Hilo jina ni brand kubwa, hairuhisiwi kutumika hovyo hovyo na watu wa hovyo wasio deserveNimeshangaa sana kusikia huyu jamaa akilia wivu kwa watu wanaomuenzi JK Nyerere kwa namna zao.
Madaraka, mbona sikusikii ukihitaji falsafa zake zilindwe? Kuna taasisi ya Mwalimu Nyerere, Butiku ameigeuza kikao cha ukoo cha wazanaki, anakula hela za Urusi, China, Skandnavia.
Mwalimu alikuwa analina mashamba hapo Butiama, hatujakuona shambani. Kazi kupiga mizinga kwa viongozi.
Enzi za Mwalimu elimu bure, wewe ukaishia kwenye pombe na kulala Magomeni eti unapromote ngumi.
Nyerere ni mkubwa kuliko jina
Hujui chochote kuhusu brand, wewe utaona kama jina tu, fatilia brand za majina kama Azam, KFC, Wasafi etc utajifunza mengi.Nimeshangaa sana kusikia huyu jamaa akilia wivu kwa watu wanaomuenzi JK Nyerere kwa namna zao.
Madaraka, mbona sikusikii ukihitaji falsafa zake zilindwe? Kuna taasisi ya Mwalimu Nyerere, Butiku ameigeuza kikao cha ukoo cha wazanaki, anakula hela za Urusi, China, Skandnavia.
Mwalimu alikuwa analina mashamba hapo Butiama, hatujakuona shambani. Kazi kupiga mizinga kwa viongozi.
Enzi za Mwalimu elimu bure, wewe ukaishia kwenye pombe na kulala Magomeni eti unapromote ngumi.
Nyerere ni mkubwa kuliko jina
Nyerere ni jina tuHujui chochote kuhusu brand, wewe utaona kama jina tu, fatilia brand za majina kama Azam, KFC, Wasafi etc utajifunza mengi.
Jaribu leo kujiita Chiembe Azam kama watakuacha salama.
kufanana jina na kujiita jina sawa ni vitu tofauti.Nyerere ni jina kama yalivyo majina mengine, huwezi kumpangia mtu jina ati kwakuwa linafanana na la kwako.
Jina hilo halijasajiliwa popote ili lisitumike na wengine.
Kuna majina makubwa yanatumika duniani kuliko hilo.
Majina kama Gabriel (jibril)
Jesus (Yesu), Mungu nk.
Kwanini iwe Nyerere!!
Kasisitiza watu wawe na na tabia za kuenzi majina ya baba zao sio baba wa wengineWahuni waache kutumia jina la mwl. Madaraka Yuko sahihi.
Nyerere sio brand as per your thinking, hata kama ni brand, imesajiliwa wapi? Brela? If you want your brand to be protected, register itHujui chochote kuhusu brand, wewe utaona kama jina tu, fatilia brand za majina kama Azam, KFC, Wasafi etc utajifunza mengi.
Jaribu leo kujiita Chiembe Azam kama watakuacha salama.
Nyerere ni baba wa taifa na baba wa family yakeMbona mimi naona hili ni jambo dogo labda kama hatuna vitu vya kupigania. Sina hakika kama jina linalokatazwa lina copyright. Pia kuna watu wengi wanajiita au kuitwa majina ya viongozi wengine wakubwa wa ndani na nje ya nchi bila tatizo lolote. Hizo a.k.a mbona zipo nyingi.
Tukiamua kuanza kushughulika na mambo madogo kama haya tutachelewa sana.
Umejiuliza kwanini wasiji brand kwa jina lako waji brand kwa jina la Nyerere.Nyerere ni jina tu
Ila Hawa akina Yeriko na Steve ndio wanajaribu kujibrand kupitia hilo jina la Nyerere
Umelelewa? ๐
Brand ni Product, service au concept sio lazima isajiliwe, leo ukitaja Mandela lazima concept ikuelekeze huduma iliyofanywa na Mandela wa SA na si Mandela mwingine, Mkwawa, Hitler, Mahtma Gandhi etc.Nyerere sio brand as per your thinking, hata kama ni brand, imesajiliwa wapi? Brela? If you want your brand to be protected, register it
Kazi ya kulinda falsafa ni ya Chama Chake yeye analinda jina la Familia. Huyu jamaa mwenye jina la Mangele kama yule muuwaji wa Hitler kwanini anataka kubadilisha ukooNimeshangaa sana kusikia huyu jamaa akilia wivu kwa watu wanaomuenzi JK Nyerere kwa namna zao.