Hivi madereva wanaoingiza magari kwenye kontena huwa wanatokaje?

Yaani unakuta gari labda ni scania au isuzu tiper linaingizwa kwenye kontena alafu nafasi ya kufungua mlango ili dereva atoke haipo je!hao madereva huwa wanatokaje?
Huwa kuna space mkuu acha kupotosha. Lazima kuwe na space kwaajili ya kuisecure gari isi move kwenda upande wowote na pia mlango unaweza kufunguka kumruhusu mtu kuingia na kutoka kwenye gari.

Pia mengine hubebwa na forklift na kuingizwa ndani ya container.
 
Huwa kuna space mkuu acha kupotosha. Lazima kuwe na space kwaajili ya kuisecure gari isi move kwenda upande wowote na pia mlango unaweza kufunguka kumruhusu mtu kuingia na kutoka kwenye gari.
...

Space inatoka wapi hadi mtu apite

Kama hapa anatokaje mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…