Hivi madereva wanaoingiza magari kwenye kontena huwa wanatokaje?

Yaani unakuta gari labda ni scania au isuzu tiper linaingizwa kwenye kontena halafu nafasi ya kufungua mlango ili dereva atoke haipo je, hao madereva huwa wanatokaje?

Huwa wanabaki huko wakiendelea kupiga muziki na vyakula vya kutosha huwa wanawekewa hadi gari inapofiki wanaitoa na kurudi makwao huku wakishsvyinjari kama watalii
 
Kuna containers zipo wazi juu
Laa sivyo zinasukumwa mpaka mwisho halafu wana secure matairi chini na kuzifunga kwa minyororo ya chuma

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…