Hao watu wameenda wapi?Miaka ya 2010 - 2012 tuliwahi kuwa na T-shirts zenye logo ya Jf, na wakati ule Jf ilikua inawatu wenye akili timam na walio jiheshimu kwelikweli.
Nakumbuka kipindi flani miaka hiyo tuliwahi kwenda kufanya Charity Muhimbuli na tuliwahi kutana kwenye moja ya fukwe maarufu sana Dar, watu walikula na kunywa na for the first time kwenye hizo moments ndipo niliwashuhudia na kukutana na Mudi wa hapa Jf.
Hakika Jf imevamiwa na GenZ, hawana adabu wala usiri, hawajifaham wala hawasikii.
Nimemkumbuka Mtambuzi, Paloma, Mama nani sijui nilisha msahau na wengine weeengi
Wapo mkuu ingawa umri pia umewajongeaHao watu wameenda wapi?
Mzee ume ongea kwa uchungu sana,.Miaka ya 2010 - 2012 tuliwahi kuwa na T-shirts zenye logo ya Jf, na wakati ule Jf ilikua inawatu wenye akili timam na walio jiheshimu kwelikweli.