Hivi maduka yanayouza bidhaa za JamiiForums zipo?

mcTobby

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2018
Posts
7,894
Reaction score
22,679
Yeah, namaanisha vitu kama t-shirt, kofia au hata kofia zenye logo ya jf. Tujuzane wadau. Nahitaji hata t-shirt moja tu.😎
 
Miaka ya 2010 - 2012 tuliwahi kuwa na T-shirts zenye logo ya Jf, na wakati ule Jf ilikua inawatu wenye akili timam na walio jiheshimu kwelikweli.
Nakumbuka kipindi flani miaka hiyo tuliwahi kwenda kufanya Charity Muhimbuli na tuliwahi kutana kwenye moja ya fukwe maarufu sana Dar, watu walikula na kunywa na for the first time kwenye hizo moments ndipo niliwashuhudia na kukutana na Mudi wa hapa Jf.
Hakika Jf imevamiwa na GenZ, hawana adabu wala usiri, hawajifaham wala hawasikii.
Nimemkumbuka Mtambuzi, Paloma, Mama nani sijui nilisha msahau na wengine weeengi
 
Hao watu wameenda wapi?
 
Mzee ume ongea kwa uchungu sana,.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…