Nimekuwa nikikutana na Magari ya Jeshi la Polisi yakiwa katika hali ya ubovu kiasi kwamba naamini yakikaguliwa taarifa itasomeka kwamba hayafai Kwa matumizi ya Binadamu!
Juzi juzi hapa nimeshuhudia tyre inachomoka wakiwa kwenye mwendo na kuwasababishia Ajali sijui kama walipona wale watu. Bahati yao hakukuwa na Camera ingekuwa story nzuri ya kuuza.
Hivi kweli Magari yanayotumika masaa 24 yanaweza kudumu Kwa miaka zaidi ya KUMI!? Hivi Bilioni 15 iliyotangazwa Bajeti iliyopita kwamba ilitolewa kwaajili ya Magari ilipotelea wapi?
Kuna kila sababu ya kuunda tume ili kuchunguza mwenendo mzima wa vyombo vya usafiri vya hawa watu wenye dhamana ya kukamata Magari yetu mabovu Kwa kutumia Magari Yao machakavu na hatarishi Kwa matumizi ya Binadamu.