Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Pud ni peptic ulcers disease mkuu...ni vidondo vya tumboPUD,ni ugonjwa gani?
A good Dr don't DX and Rx patients online.....See the patient, take hx, perform PE followed by Lab investigation and finally Rx ur patients, otherwise u ar going to kill them or making their problems worse ..kwe mkuu unateseka pole sana ningekushauri kama kweli umewahi kupimwa ukambiwa unamadonda ya tumbo tumia Triple therapy
yaani mchanganyiko wa dawa tatu ..Caps amoxilline 500mg tds fo 5days,Tabs metronidazole 400mg tds for 5day,Tabs Omeprazole 20mg bd for 5day pia unaweza kuongeza Buscopan tabs na Mucogel syrup hakika utaleta ushuuda pia ukizingatia vyakula unavyotakiwa ule..
Kwa kesi ya UTI kwa vile ni sugu choma Ceftriaxone 1g bd for 5day kesi tutamaliza.Ugua pole mkuu
Check HIV status pamoja na TB ...then comeback tueendelee...kwa nini nakushauri hivi...immunity inapokuwa compromised utakabiliwa na maradhi ya mara kwa mara na pia kama ulivyosema mwili umekuwa dhaifu ni lazima tuaagalie vitu kama hivyo...naweza kukupa Ushauri ambao uko detailed lakini vema anzia hapo kwanza.Ni muda sasa nimekuwa nikisumbuliwa na Typhoid,vidonda vya tumbo pamoja na huu unaoitwa eti U.T.I.Nimetumia dawa mbalimbali lakini wapi.Kila nikipima lazima magonjwa mawili kati ya hayo lazima yaonekane!Sasa nimechanganyikiwa!
Nimekuwa mdhaifu mno na hata nilipomwambia Dokta kuwa ninahisi maumivu makali ya mwili wakati mwingine ninapofanya tendo la ndoa!Dokta alinijibu kwa dharau kuwa sasa ulitegemea nini baada ya ngono lazima uhisi maumivu kwani nayo ni kazi!!!Wadau naaombeni ushauri kama unajua dawa zilizowahi kukutibu tusaidiane ingawa nimeshatumia dawa nyingi sana!!!!
Piroxicam ni dawa za kutuliza maumivu (analgesics) hazina uwezo wa kutibu bacterial infections... Labda ulitaka kusema ciprofloxacin (quinolones antimicrobial)?u.t.i shida sana we acha tu
dawa yake kunywa maji sana .
pia jiamini sometimes
umewahi kutumia piroxicam?
cipronmezinywa mpaka nafanana nazo, nimetumia hizo pirox nmepona nashangaaPiroxicam ni dawa za kutuliza maumivu (analgesics) hazina uwezo wa kutibu bacterial infections... Labda ulitaka kusema ciprofloxacin (quinolones antimicrobial)?
Unbelievable eti piroxicam inatibu UTI...[emoji15] [emoji15] [emoji15]cipronmezinywa mpaka nafanana nazo, nimetumia hizo pirox nmepona nashangaa
Ni muda sasa nimekuwa nikisumbuliwa na Typhoid,vidonda vya tumbo pamoja na huu unaoitwa eti U.T.I.Nimetumia dawa mbalimbali lakini wapi.Kila nikipima lazima magonjwa mawili kati ya hayo lazima yaonekane!Sasa nimechanganyikiwa!
Nimekuwa mdhaifu mno na hata nilipomwambia Dokta kuwa ninahisi maumivu makali ya mwili wakati mwingine ninapofanya tendo la ndoa!Dokta alinijibu kwa dharau kuwa sasa ulitegemea nini baada ya ngono lazima uhisi maumivu kwani nayo ni kazi!!!Wadau naaombeni ushauri kama unajua dawa zilizowahi kukutibu tusaidiane ingawa nimeshatumia dawa nyingi sana!!!!
i vipimo ndo vinaonesha hayo matatizo au ww pia unahisi kero za hayo matatizo.naomba majibu nikuelekeze dawa nzuuri na rahisiNi muda sasa nimekuwa nikisumbuliwa na Typhoid,vidonda vya tumbo pamoja na huu unaoitwa eti U.T.I.Nimetumia dawa mbalimbali lakini wapi.Kila nikipima lazima magonjwa mawili kati ya hayo lazima yaonekane!Sasa nimechanganyikiwa!