Hivi magonjwa haya yana tiba?

Hivi magonjwa haya yana tiba?

kwe mkuu unateseka pole sana ningekushauri kama kweli umewahi kupimwa ukambiwa unamadonda ya tumbo tumia Triple therapy
yaani mchanganyiko wa dawa tatu ..Caps amoxilline 500mg tds fo 5days,Tabs metronidazole 400mg tds for 5day,Tabs Omeprazole 20mg bd for 5day pia unaweza kuongeza Buscopan tabs na Mucogel syrup hakika utaleta ushuuda pia ukizingatia vyakula unavyotakiwa ule..
Kwa kesi ya UTI kwa vile ni sugu choma Ceftriaxone 1g bd for 5day kesi tutamaliza.Ugua pole mkuu
A good Dr don't DX and Rx patients online.....See the patient, take hx, perform PE followed by Lab investigation and finally Rx ur patients, otherwise u ar going to kill them or making their problems worse ..
 
Ni muda sasa nimekuwa nikisumbuliwa na Typhoid,vidonda vya tumbo pamoja na huu unaoitwa eti U.T.I.Nimetumia dawa mbalimbali lakini wapi.Kila nikipima lazima magonjwa mawili kati ya hayo lazima yaonekane!Sasa nimechanganyikiwa!

Nimekuwa mdhaifu mno na hata nilipomwambia Dokta kuwa ninahisi maumivu makali ya mwili wakati mwingine ninapofanya tendo la ndoa!Dokta alinijibu kwa dharau kuwa sasa ulitegemea nini baada ya ngono lazima uhisi maumivu kwani nayo ni kazi!!!Wadau naaombeni ushauri kama unajua dawa zilizowahi kukutibu tusaidiane ingawa nimeshatumia dawa nyingi sana!!!!
Check HIV status pamoja na TB ...then comeback tueendelee...kwa nini nakushauri hivi...immunity inapokuwa compromised utakabiliwa na maradhi ya mara kwa mara na pia kama ulivyosema mwili umekuwa dhaifu ni lazima tuaagalie vitu kama hivyo...naweza kukupa Ushauri ambao uko detailed lakini vema anzia hapo kwanza.
 
u.t.i shida sana we acha tu
dawa yake kunywa maji sana .
pia jiamini sometimes

umewahi kutumia piroxicam?
Piroxicam ni dawa za kutuliza maumivu (analgesics) hazina uwezo wa kutibu bacterial infections... Labda ulitaka kusema ciprofloxacin (quinolones antimicrobial)?
 
Mi nahisi kila binadamu na weakness zake pamoja na ugonjwa wake, kuna watu hawajawahi kuexpirience typhod wakati kuna wengine wanaenda vijijini na hata maji wanayokunywa ni kisimani tena bila kuchemsha, ajabu hawapatwi na typhod, kuna wakati inawezekana watu baadhi wanao tumia vyoo vya staff wakapatwa na UTI ila baadhi wakasalimika, I believe that
 
Doctor gani mshenzi hivo? Ungeenda kumshitaki kwa superior wake, hafai kabisa.
 
Piroxicam ni dawa za kutuliza maumivu (analgesics) hazina uwezo wa kutibu bacterial infections... Labda ulitaka kusema ciprofloxacin (quinolones antimicrobial)?
cipronmezinywa mpaka nafanana nazo, nimetumia hizo pirox nmepona nashangaa
 
Kwa vidonda vya tumbo tumia Tiba hii.Chukua kiini cha yai la kuku wa kienyeji kichanganye na vijiko 2 vya chakula vya asali mbichi koroga kunywa mara tatu kwa siku kwa muda wa siku 30.Yaani mayai 3 kwa siku. Asubuhi 1, mchana, 1 na jioni yai 1. Kwa mwezi mayai 90. Au kusanya maganda ya maparachichi yakaushe kisha yasage, ukishasaga chota kijiko kimoja cha chakula changanya na vijiko 2 vya asali mbichi meza asubuhi na jioni kwa muda wa wiki 2.Usipopona nitafute kwa kamili ya dawa nyingine ambayo sitaweza kuiandika hapa kutokana na ugumu wa upatikanaji wa mmea fulani wa kuchanganyia.Pole sana mwanaJf mwenzangu..
 
Ni muda sasa nimekuwa nikisumbuliwa na Typhoid,vidonda vya tumbo pamoja na huu unaoitwa eti U.T.I.Nimetumia dawa mbalimbali lakini wapi.Kila nikipima lazima magonjwa mawili kati ya hayo lazima yaonekane!Sasa nimechanganyikiwa!

Nimekuwa mdhaifu mno na hata nilipomwambia Dokta kuwa ninahisi maumivu makali ya mwili wakati mwingine ninapofanya tendo la ndoa!Dokta alinijibu kwa dharau kuwa sasa ulitegemea nini baada ya ngono lazima uhisi maumivu kwani nayo ni kazi!!!Wadau naaombeni ushauri kama unajua dawa zilizowahi kukutibu tusaidiane ingawa nimeshatumia dawa nyingi sana!!!!

Nenda hospitali za maana upate msaada sahihi
 
mkuu n

i vipimo ndo vinaonesha hayo matatizo au ww pia unahisi kero za hayo matatizo.naomba majibu nikuelekeze dawa nzuuri na rahisi
 
Back
Top Bottom