Mkuu mbona wali na vyakula vya ngano vinalika sana.Chakula cha maana kabisa nchi hii ni ugali
Lazima mahindi yahusike hapo chief hamna namna
Mkuu Kumbuka pia watu wengi sana siku haipiti bila kula waliChakula cha maana kabisa nchi hii ni ugali
Lazima mahindi yahusike hapo chief hamna namna
Havijazidi ugali ila, ngano huko ndani ndani kuna wengine inaweza kukata hata mwaka hajagusa chakula kilichotengenezwa kwa ngano ila ugali kwa wengi kukata mwezi tu bila kuugusa ni ngumuMkuu mbona wali na vyakula vya ngano vinalika sana.
Kwa miaka mingi wali ni chakula cha matajiri. Katika historia ya mpunga ulijiotea katika mabonde ya milima China na Brazil.Mkuu Kumbuka pia watu wengi sana siku haipiti bila kula wali
Watu wengi wangapi wanazidi wala ugali?Mkuu Kumbuka pia watu wengi sana siku haipiti bila kula wali
Mahindi Una weza kupika makande, Una weza kuchoma na kuchemsha, uka saga unga ukapika ugali, na uji ukanywaChakula cha maana kabisa nchi hii ni ugali
Lazima mahindi yahusike hapo chief hamna namna
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Huyo keshajiroga kisaikolojia isee!Jirani yetu anakula wali kama kiburudisho, akiwa na njaa anakula kwanza ugali mpaka akikaribia kushiba ndio anagonga wali, anadai wali hua haukai tumboni, akila wali pekee hua haimalizi nusu saa anasikia njaa.
Na ndio maana nchi za wenzetu mahindi yanatumika sana kwenye malisho ya mifugo kuliko matumizi ya binaadamu.Huyo keshajiroga kisaikolojia isee!
Lakini si huyo tu, wengi wana imani sana na ugali!
Ukifuatilia kitaalamu, "food value" ya unga wa mahindi haizidi "food value" ya ngano, ulezi, mchele, mtama na uwele.
Kwenye kundi la vyakula vya nafaka, mahindi ni ya mwisho kwa thamani.
Sema tu watu wanasifu ugali kwa ajili ya mazoea na si kwamba vyakula ambavyo si ugali havishibishi hizo ni dhana tu.