Mkalukungone mwamba JF-Expert Member Joined Aug 29, 2022 Posts 862 Reaction score 1,755 Feb 27, 2024 #1 Hivi majani ya mpera ni dawa ya ngozi? Maana nimewasikia watu wakisema ni dawa ya ngozi.
Nifah JF-Expert Member Joined Feb 12, 2014 Posts 34,020 Reaction score 79,098 Feb 27, 2024 #2 Hata sisi ni watu pia. Kwanini usingewauliza hao watu waliokuwa wanasema ni dawa?