Mfano wa hao wawekezaji ni wapi??Hio ni ngumu sana kutokana na Kenya kuwa na wawekezaji wengi wa bidhaa kama hio.
Unajiuliza kwa mwaka mmoja mzima?? Una roho ngumu... lakini watu wa aina yako wanafanikiwa pia sana, kwani kuwa na subira ina zalisha matunda yake pia...Ndo najiuliza. Joseverest
hahahahaha, mbavu zanguUnajiuliza kwa mwaka mmoja mzima?? Una roho ngumu... lakini watu wa aina yako wanafanikiwa pia sana, kwani kuwa na subira ina zalisha matunda yake pia...