Hivi maji ya kunywa ya Kilimanjaro yanauzwa Nairobi?

Hivi maji ya kunywa ya Kilimanjaro yanauzwa Nairobi?

okoyoko

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2014
Posts
2,664
Reaction score
3,641
Hello

Ningependa kujua kama maji ya Kilimanjaro yanayotengenezwa na bonite, yanapatikana katika Nairobi retail shops.

Nina plan ya kuwa supply agent wa hayo maji. Mliokaa Nairobi or Kampala, Congo etc naombeni mnijuze

Akhsante
 
Hio ni ngumu sana kutokana na Kenya kuwa na wawekezaji wengi wa bidhaa kama hio.
 
Hakuna Kilimanjaro huku, ila biashara ya maji zipo kampuni nyingi mno chupa kama ya Kilimanjaro inauzwa 30- sawa Na 600 Tz sasa labda upate mchongo kwenye supermarket kubwa
 
Back
Top Bottom