Hivi majibu haya yamelitendea haki swali husika ?

Hivi majibu haya yamelitendea haki swali husika ?

Haya bwana...yetu majicho!!!

Wadau nyie si macho mnayo? Mi kumuuliza ametumia "our" insted of "me" or that y i'm askin that quiz!
Lile swali nime insult wapi ?
Insulted do not even do any linguistic violence, the way that, say, use of gendered or otherwise marginalizin forms of language might.
Rules of discourse that require everyone be treated with basic civility!
Ingawaje kanita illiterate! Mi hainipunguzi kula ubwabwa wangu na kupanda juu ya my wife to b!
I'm not against dirty words , i'm against degradin words that have malicious intent, function and buit .
 
Mkuu wangu, nikuitie YNNAH?
 
Sasa hao elfu 28 wamefaulu kitu gani na waliofeli nao wamefeli kitu gani tofuti na wenzao?!
 
Tunaposema hawajui kusoma na kuandika tuna maana gani? Tunatumia viwango gani?

Hawawezi kusoma kabisa na ukiwapa kitabu kiso picha wanaweza kukishika chini juu? Wanasoma kwa tabu sana? Wanaweza kusoma lakini chini ya viwango na sentensi moja inaweza kuchukua dakika tano huku wakirika baadhi ya silabi?

Tunataka kuambiwa nini kwa kauli hii?
 
yaani achaa mamito inahuzunisha hadi basi.......bwana wakubwa wanaona sawa couse wanao wapo kule

Bongo tambarareeeeeeeeeeeee!! Nilishangaa kaja mtoto hata saa hawezi kusoma na amemaliza darasa la saba nimempa gazeti anisomee hawezi....... ghafla naambiwa amefaulu anakwenda kidato cha kwanza..... haya ndo maajabu 7 ya dunia kuwa nchi ya kwanza watoto wamemaliza elimu ya msingi wasiojua kusoma wala kuandika na huku wakiwa wamefaulu kuendela na masoma ya sekondari.... huu ni mzaha na sasa tumeshusha kiwango cha kuffaulu ili wanafunzi wengi zaidi waonekane wamefaulu.... it hurts....
 
nani kakwambia msimamo wako ni wetu!!!!sisi wengine inatuhusu!

That's my main point!
Mhe , huyu Tonykp alitumia uwingi katika harakati zake za kunirusha stimu! Ndipo nilipomtaka anitambulishe, yuko na nani, ndiyo ikawa nimemu'attack (kwa maono yake) inaskitisha sana watu kuhemkwa through unnecessary issues .
 
Last edited by a moderator:

Hapa ndipo thread yako ingepaswa kuwepo!!!! Kila la heri!! Judgment
 
Last edited by a moderator:
Hapa ndipo thread yako ingepaswa kuwepo!!!! Kila la heri!! Judgment

Haya tajiri yangu! Siwezi kukompiti na nyie wenye fourum yenu (Jf) Kama si wewe kuiwangia ingebaki kulekule! Mi humu sina Mjomba au Shangazi Mods wa kunikomeshea niwatakao.
I'm over due this debate !
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom