Haya bwana...yetu majicho!!!
Taratibu wakuu...!
Wadau nyie si macho mnayo? Mi kumuuliza ametumia "our" insted of "me" or that y i'm askin that quiz!
Lile swali nime insult wapi ?
Insulted do not even do any linguistic violence, the way that, say, use of gendered or otherwise marginalizin forms of language might.
Rules of discourse that require everyone be treated with basic civility!
Ingawaje kanita illiterate! Mi hainipunguzi kula ubwabwa wangu na kupanda juu ya my wife to b!
I'm not against dirty words , i'm against degradin words that have malicious intent, function and buit .
Mind is so powerful than fist!!!!!!!!
we mbururaa umeambiwa tafuta maana ya chtchat ndo uongee.
Na huyo aliyeturoka keshafariki manake angeyaona haya yanayoendelea angetuonea huruma akatengua mambo
yaani achaa mamito inahuzunisha hadi basi.......bwana wakubwa wanaona sawa couse wanao wapo kule
nani kakwambia msimamo wako ni wetu!!!!sisi wengine inatuhusu!Its not our concern!!!
Tuliaaaaaaaa . . . wanaeleweshana tu mwayego!!! lol
nani kakwambia msimamo wako ni wetu!!!!sisi wengine inatuhusu!
Hapa ndipo thread yako ingepaswa kuwepo!!!! Kila la heri!! JudgmentThat's my main point!
Mhe , huyu Tonykp alitumia uwingi katika harakati zake za kunirusha stimu! Ndipo nilipomtaka anitambulishe, yuko na nani, ndiyo ikawa nimemu'attack (kwa maono yake) inaskitisha sana watu kuhemkwa through unnecessary issues .
Hapa ndipo thread yako ingepaswa kuwepo!!!! Kila la heri!! Judgment