Hivi majina yanaendana na tabia zinazozungumzwa kwenye jamii?

Hivi majina yanaendana na tabia zinazozungumzwa kwenye jamii?

Hakuna ukweli.

Tuchukue mfano...

Unaweza ukampatia mtoto wako jina "Tajiri" ukitegemea atakuwa tajiri kwasababu tu jina lake ni tajiri lakini akaishia kuishi maisha ya dhiki.

Lakini pia mtoto huyu mwenye jina "Tajiri" anaweka kuwa tajiri kweli kama tu atapanga karata zake vizuri na kutumia opportunities zilizopo.

Kwa mfano huo niliokupatia unaweza ona si kweli sana kwamba jina la mtu lina nguvu ndani yake na kwamba utakuwa kama jina lako linavyomaanisha.
 
Back
Top Bottom