Hivi Makonda ndio "katoswa" au kuna mchongo anatengenezewa?

Hivi Makonda ndio "katoswa" au kuna mchongo anatengenezewa?

Miswahili bana imeshaanza majungu!! hapo jileta mada linatamani huyu bwana akomeshweeee!! ole wenu ombeni hivo hivo nikiwa Rais kijana nampaisha ki vyovyote vile!!! mnamsema mpaka ashindwe kufanya kazi atembee kwa hofu? hee! wivu mwningine hasara madktari mnwasema waalimu manesi ptyuuup
Amekomba mboga huyo swahiba wako katafute Kazi zingine Kama ulitegemea akupe ajira ya uhouseboy.
 
Imeisha iyo ,teuzi tushamaliza mkuu.saizi Formal RC anajifariji na nyimbo ya mbosso sijui inaitwaje?.Amecheza rafu nyingi zinazoonekana,saizi tunasoma namba pamoja
Nafasi ya Slowslow!
 
huyo drug dealer ndio kashasahaulika halafu anajificha kwenye kivulI cha dini
 
Watu tunadiskas sirias issues hapa wewe unaleta topic zilizo chacha.
Forward ever, backward never.
 
Miswahili bana imeshaanza majungu!! hapo jileta mada linatamani huyu bwana akomeshweeee!! ole wenu ombeni hivo hivo nikiwa Rais kijana nampaisha ki vyovyote vile!!! mnamsema mpaka ashindwe kufanya kazi atembee kwa hofu? hee! wivu mwningine hasara madktari mnwasema waalimu manesi ptyuuup
Kama ww ni mwanaume kuwa makini ..hiyo "ptyuu " ina sound km umeanza kupita round za kwa mpalange
 
Baada ya kusikia mkuu akisema majaliwa amalizi miaka kumi kwenye uwaziri mkuu nikajua makonda ndio anayefata wala msiwe na shida
 
Du makonda anapendwa sana na watu ,ukiona watu wanamsema sema sana makonda ujue watu wanampenda na mwaka huu hauishi makonda atakuwa waziri tena wizara nyeti .
 
Moja kwa moja kwenye mada, wakuu najua kuna wengi tuliwaza kua kuenguliwa kwa Bashite na kuondowea kua RC ilikua ni njia ya kumuandaa kumuweka mahala pa juu zaidi.

Kuna mpaka waliotabiri kua huenda akawa waziri mkuu baada ya uchaguzi, wengine waliwaza uwaziri, hata Paschal Mayalla alitabiri ati Bashite ndie raisi ajae baada ya Jiwe na uzi wake upo humu, wengine uspika kwakweli wengi tulitarajia kijana huyu "kipenzi cha mkuu" kutua katika cheo cha maana.

Ikumbukwe kijana huyu alikua kipenzi haswa cha bwana yule na hata yeyote aliejaribu kumgusa alikiona chamoto vipi niwakumbushe kilichompata Nape Nauye au Kabobe nk.

Makonda alikuwa mpaka anatembea na convoy ulinzi wa Rais atakavyo yeye mwenyewe binafsi, mnakumbuka alivamia mawingu fm akiwa na vikosi maalumu anaviamrisha apeavyo. Nani amesahau kijana alivyokua mpaka anawatishia mawaziri "kuwasemea" kwa mkuu na wakawa wanafyata mikia yao vizuri hiiiiii bagosha !!

Ilikua ukimgusa Makonda umemgusa mkuu, Makonda alikuwa na uwezo wa kumfanya mtu yeyote chochote atakacho. Kuna kibonzo niliona kimechorwa Bashite kabebwa mgongoni na bwana yule huku kashika SMG AK 47.

Kuna picha ya Ikulu ilipigwa jamaa akiwa kakaa siti ya jirani na mkuu siti iliyotakiwa kukaliwa na makamu wa raisi ila yeye ndo alikaa huku makamu wa raisi ikikaa mbali huko, wataalamu wa itifaki walikosoa sana ila yote kwa yote tunakumbuka "uswahiba" wa Bashite na mkuu.

Swali langu kijana wa kithembe, thatha imekuaje tena au ndo tutheme katibuana na bwana yule ?! Au ndo bado anasukiwa channel ?! Au ndo vipi wataalamu wa kubashiri mtheme jambo tafadhali.
Wewe pambana na hali yako,makonda huyo ni next level.
Hivi tunavyoandika huku yeye anakula bata Full ulinzi.
Sasa jiulize kwa nini analindwa mpaka leo?

Christmas na mwaka mpya alikuwa 4Season kwa wiki nzima tena usafiri anaoutmia hata usajili sio wa nchi hii.
Jiomgeze....
 
Uzalendo umekushinda umeamua kuja kujitetea
 
Back
Top Bottom